nahitaji mchumba wa kike

samsiz

Member
Dec 23, 2012
64
51
mambo naitwa moses mkristo naishi dsm,nna miaka 33,elimu yangu kidato cha sita ,sijabahatika kupata watoto,dini yangu mnyakyusa,urefu wangu 5.8 ft,mwili wastan,rangi maji ya kunde ,bado sjafanikiwa kimaisha,nifanikiwa bahati mbaya nika yumba nahitaji kujijenga upya
from scratch/zero
kuniona visit my fb account natumia jina la musa wa israel.
 
Ungerudi mbeya mkuu, fursa zipo nyingi sana, hapa town utapata tapeli alafu uje jf kulia. Maana umejianika sana mpka namba ya simu.

sent using samsung galaxy s8
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom