Habari
Jina - Brighton
Umri - 39
Urefu - 5.5ft
Dini - Mkristo
Damu - group o
Pombe- sinywi
Rangi- maji ya kunde
Kazi- Nimejiajiri
Naishi- Nyanda za juu kusini
Maono/ndoto - nikukua kimaisha
Sofa...
Wanajamvi Heshima zenu
Je unahitaji kuunganishwa ili kupata mwenzi wako kama Mchumba na baadae Mume au Mke. Tafadhali tuma wasifu wako kupitia DM ukijielezea ** Umri, Umbo lako, Dini, Hobbies...
Habari kwenye jukwaa hili, natumai mu wazima wa afya. Mimi ni mtu ambaye niko busy na mara nyingi nashinda kwenye Computer kutokana na fani yangu ni IT. Sipati muda mwingi wa kutoka hivyo imekuwa...
Kichwa cha habari chajieleza.
Tafiti zangu za muda mrefu zimeonyesha kuwa uaminifu kwa sasa ni kitu adimu sana kwa wana ndoa.
Hivyo basi mm Malafyale muda wa kuoa umefika,natafuta mwananke aliye...
Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa nataka mimi ndio niwe wake pekee na sitaki MAKOMBO, nina miaka 25, kazi yangu nimeajiriwa Hospitali kubwa jijini Dar es Salaam to, Namtaka mwenye vigezo vifuatavyo...
Sifa zangu
1) Spiritual lakini siamini katika dini za watu weupe
2) Culture ya maisha yangu ni Vegan
3) Umri wangu ni 35
4) Ni mweupe, Mtanzania
5) Nimejiajiri
Sifa za ninayemtaka
1) Awe mweusi...
Mwanamke miaka 33 natafuta mume ambaye yuko serious kuanza maisha ya familia pamoja,awe na sifa zifuatazo.
umri kuanzia miaka 33 hadi 40
awe Mkristo
Elimu kuanzia bachelor degree na...
Hello!
Mimi ni mwanamke
Umri 34
Mkristo
Mtumishi wa umma
Elimu ya juu(degree)
Sijawahi kuzaa koz sijaolewa.
Natafuta mwenza awe mkristo, umri 35 mpka 50, awe mtafutaji karibu
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 35. Nina mtoto mmoja na nimfanya biashara wa mitumba.
Napatikana Mwanza Ilemela, natafuta mke wakuoa kwa ambae yupo tayari tafadhari tuwasiliane DM ipo wazi...
Awe na hela ya kujimu mahitaji yangu Bali Mimi I will be a submissive wife
Nina miaka 22 Mimi ni mwana mitindo natoka Kenya ninahitaji mapenzi ya kweli nanipo serious
Kama Kuna yoyote anaitaji...
Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.
Kwa jina naitwa Aziza Ramadhan, nahitaji mume mtu mzima ambaye anajua wajibu na majukumu yake, miaka 40-75. Niko serious kabisa kwa hili. Kwa maongezi...
Mimi ni mwanaume mpole, mnyenyekevu, nipo kwenye umri wa miaka 40 ya awali (early 40s). Natafuta mwenza(mwanamke) wa maisha kwa ajili ya uhusiano wa kudumu unaoelekea kwenye ndoa. Ninathamini...
UKIWA CHINI YA MIAKA 45 NI MARUFUKU KUNITAFUTA.
Hello mimi niko single, nahitaji mume, Miaka 45-75.....awe anajiweza kutunza na kuhudumia mke, familia. Dini yoyote, niko tayari kuwa hata mke wa...
Huu ujumbe umetoka kwa ndugu yangu .
Sifa zake
Umri 35
Kazi Mwalimu wa secondary
Kazi anaendesha Biashara pia
Ana Kazi mbili Biashara na ameajiriwa government Kama Mwalimu .
Elimu degree BAED...
Hello, nahitaji mume mtu mzima, miaka 45-78. Mwanaume mtu mzima ambaye yuko tayari kuwa na mimi anicheki WhatsApp kwa maongezi zaidi 0747855329.
UNAPOKUJA PM ZINGATIA MAELEZO.
Natafuta binti mrembo aliye tayari kuwa mke tufanye maisha.
Nina miaka 36, mkristo, mrefu wa wastani, sio mnene, sina mtoto, elimu ya chuo kikuu na situmii kilevi. Nimeajiriwa na...
Habari wanaJF
Kichwa kimejieleza hapo juu ni jambo serious kwa huyu ndugu yetu kwani siku zote ukweli humweka mtu huru na amethubutu kuniweka wazi.
Ni mjomba wa miaka 36 lakini amejikuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.