Ni mmarangu,umri 36,ana mtoto wa kike anasoma darasa la 7,anafanya kazi wizara ya mambo ya ndani,dodoma na ni mkkkt.Anatafuta mwenza ambae watakubaliana kuishi pamoja na kupata watoto,na...
Habari wanawake wote wa humu JF na pia hongereni kwa upambanaji wa kujitafutia mkate wa kila siku.
Mada: Natafuta mwanamke wa kuoa awe mwanamke mwenye uhitaji wa kweli na mwenye nia ya kujenga...
Umri 23-30, uwe Mkristo wa dhehebu lolote, uwe wa kabila lolote ili mradi unaishi Mwanza, elimu kuanzia kidato cha 4 na kuendelea, usiwe mnene sana wala mwembamba sana, uwe mweupe au maji ya kunde...
nahitaji mwana mke awe mwanza umri 30-42 akiwa na mtoto haina shida ila asizidi 1 .. naishi nyegezi nina miaka 43 na mtoto mmoja ... aliye tayari ani pm tuyajenge
LEO ULIJUE HILI
Tofauti Sahihi (Kibiashara):
1. New Phone (Mpya Kabisa)
Haijawahi kutumika.
Imefungwa (sealed) moja kwa moja kutoka kiwandani.
Inakuja na warranty ya kiwandani.
Hii ndiyo aina...
Mimi ni kijana wa miaka 28. Nmeajiriwa sekta binafsi , kipato changu ni 400,000 kwa mwezi natafuta mwanamke wa kuoa kuanzia miaka 17 hadi 24 awe mzuri wa sura , awe rangi yoyote, asiwe na mtoto...
Habarini za sasa.
Mvua dar zinaendelea kupiga mfululizo hazikati na ndio zimenipa shauku ya kuandika huu walaka.
Akili_ninazo ni kidume mrefu wembamba kwa umbo, nipo singo na nina ugwaduu wa...
Jambo la msingi ni hilo
Yani mimi niko Sealed kama Box la sigara, halafu wewe nikukute Uko Open High way ya Mfugale..
Njoo tufunguane kama Champaigne😂😂
Wanawake huwa tunatongozwa, ila tu niseme ukweli hata sisi tunavigezo vyetu ambapo familia huwa inaanza kutufundisha pindi tunapo balehe. Bila hivyo vigezo, inakuwa kazi sana, na ndio unajikuta...
I’m 31 male born and raised in Dar, but soon relocating to Arusha. I hold a university degree, used to be employed, now I run my own hustle and it’s going well (i eat three meals a day...
Uwe mrefu flani hivi, shep ya ki model mwenye nyama, rangi yoyote, kabila lolote, dini mkristo uwe mkoa wowote ila tutaishi dar, kama umebahatika kupata mtoto naomba isiwe zaidi ya mmoja, miaka...
Habari wapendwa
Naishi Vikindu Pwani
Umri 35
Nahitaji mwenza wa maisha
Awe na umri 25-35
Ambae yupo tayari kutafuta wote maisha tuwe na familia
Km yupo anicheki DM
Habari wapendwa
Naishi Vikindu Pwani
Umri 35
Nahitaji mwenza wa maisha
Awe na umri 25-35
Ambae yupo tayari tuwe na familia
Km yupo anicheki DM
Au Whatsapp kwa namba 0694599179.
Kwanza naomba kuuliza ivi watu wanaotafuta wenza humu mnawapata kweli? Leten mirejesho tujue maana mtu akipost kutafuta mwenza naona comment ni za kukatisha tamaa haswa ma single mama Kwan mtu...
Hello,
How are you guys, kama kichwa cha habari kilivyo jieleza, mimi ni mwanaume mwenye sifa zifuatazo
1. Mrefu mweusi
2. Umri wangu 30
3. Graduate, Christian
4. Muajiliwa/ nimejiajiri pia...
Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.
Kwa jina naitwa Aziza Ramadhan, nahitaji mume mtu mzima ambaye anajua wajibu na majukumu yake, miaka 40-75. Niko serious kabisa kwa hili. Kwa maongezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.