Habari Wakuu!!!
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo:
Awe Muislam. (Awe ana jistiri kama dini inavyohitajika)
Umri 20-40
Ajue mapishi
Ajue kujiremba na ni msafi.
Usiwe na tumbo kubwa.
Kama ni...
Niwe tu muwazi nahitaji mume Mkristo miaka kuanzia 45+ asiwe mume wa mtu, najua wengi wapo wapweke humu karibu tuyajenge.
Awe tayari kupima HIV....
Awe na akili Timamu.....
Awe anayejua...
Namuomba MUNGU Anipe mchumba
na mimi ,Mimi mkristo mkatoliki mwanamke mvumilivu umri ni 29+, Libra,
Sio mnene sana/Chaga
Ni wa kawaida
Sina Ugonjwa wowote
Naomba kama kuna mwenye hitaji la...
Wasalaam.
Kuna ndugu yangu ambaye yeye ni mzee wa pombe! Kila ijumaa jioni na jmosi siku ambazo haendi kazini ni mzee wa kulala bar.
Kwa ulevi wake huu anahitaji mwanamke anayependa urabu Ili...
Mimi ni mwanamke, miaka 32, watoto wawili.
Baba wa watoto tumeachana muda kidogo, sijakata tamaa wala, nayapenda Maisha kweeli. Nimeajiriwa.
Natamani nipate mwanaune ambae ni HIV Positive kama...
Habari zenu wanajamii,
Natumaini mko salama. Nimeamua tena kuweka tangazo hili kwa lengo la kukutana na mwenza wa maisha mwenye nia thabiti na malengo ya dhati.
Mimi ni mwanamume mwenye umri wa...
1.Ana umri miaka 36
2.mwislamu
3.Yupo Dar ni injinia
4.Anataka mwanamke mtanzania kwa ajili ya kuishi nae kwa ndoa
5.Awe na umri 25-35
6.Ajue kiingereza
Huyo bwana nimekutana nae hapa mza alikuja...
Mimi ni Binti mwenye umri wa miaka 30, Natafata mume, Sibagui umri wala kabila, Karibuni kwa mwenye kuhitaji mke aliyekamilika na anayempenda Mungu.
Atakaewahi atapewa kipaumbele
Tukutane PM
Habari zenu wana nzengo
Katika mahusiano ya kimapenzi, usaliti ni suala linaloibua mijadala mikubwa. Ingawa mara nyingi wanawake wanaweza kujitetea kuwa usaliti wao umetokea kwa bahati mbaya...
Awe na sifa zifuatazo
Awe na miaka kati ya 25 mpaka 30
Awe Mkristo
Awe tayari kupima hiv
Awe anaishi dar es salaam
Elimu bachelor ya kozi yeyote ile
Sifa zangu
Nina miaka 33
Kazi; duka kariakoo...
Habari ndugu zangu.
Mtaniwia radhi kama nitakuwa nimekosea au utakwazika kwa ujumbe wangu.
1. Natafuta mwanamke anayehitaji mume wa kumuoa. Mwanamke ambaye yupo "intrinsic" na hilo jambo;
2. Umri...
Kama kichwa cha habari kinavyo sema kutokana na changamoto za safari za utafutaji na kukaa muda mrefu nje ya familia nahitaji mke wa pili mimi ni muislam nae jitahid kufuata maadili ya kiislam...
Habari ya wakati huu. Nimeleta mrejesho kwa kipindi ambacho nimekuwa na uhitaji wa mwenza na nikaposti humu. Lakini waliokuja pm ni wababa waume za watu na wengine wanakuja for funny tu, wakihisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.