Single mama

Single mama

nakwede97

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2021
Posts
2,633
Reaction score
8,411
Kwanza naomba kuuliza ivi watu wanaotafuta wenza humu mnawapata kweli? Leten mirejesho tujue maana mtu akipost kutafuta mwenza naona comment ni za kukatisha tamaa haswa ma single mama Kwan mtu kuzaa ni kosa la jinai au nin?
Nyie wanaume inamaana wote humu hamna watoto mliotelekeza huko?

Single mama wanaoolewa mungu awasimamie na mnaotafuta pia mungu ataonyesha njia
 
Dhumuni la barua yako kwa hadhira ni lipi hasa?
 
Utapata mwenza wa maisha yako mkuu kikubwa sema na Mungu yeye atakupa kikufaacho!
 
Toa vigezo vya yule unayemtaka tu upate chako faster. Fanya yako. Hao wengine mablack commenters nao wanafanya yao.Hii ndio Radha ya Dunia,katikati ya miiba hupatikana nanasi. Sauti za vyura ni mziki wa kumsindikiza twiga kunywa maji!
 
Nafikiri dhumuni ni kutaka kujua mrejesho ukoje. Maana watu wanapotumia muda wao kukushauri na kukutia moyo, ni vizur kama utawapa fredback ili wajue namna ya kuboresha kusaidia wenfine next time. Tofauti na ile kupotea kimyaaa
 
Hapo nimekupata
 
Kwanza naomba kuuliza ivi watu wanaotafuta wenza humu mnawapata kweli? Leten mirejesho tujue maana mtu akipost kutafuta mwenza naona comment ni za kukatisha tamaa haswa ma single mama Kwan mtu kuzaa ni kosa la jinai au nin?
Nyie wanaume inamaana wote humu hamna watoto mliotelekeza huko?

Single mama wanaoolewa mungu awasimamie na mnaotafuta pia mungu ataonyesha njia
Ujumbe uliokusudia ni upi?

Kuna single maza anasema mwanaume asiyependa watoto wake hawezi kuolewa naye amezaa na wanaume wawili tofauti na ana watoto watatu, na Baba wa hao watoto wapo hai kabisa, sasa kirahisi kabisa upende watoto wa wenzako ili upate nyap ya mama yao??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom