Rejea kichwa cha habari hapo juu. Mkurugenzi Mtendaji (mke na sio mwanamke) anahitajika.
KITUO CHA KAZI: MBEYA MJINI
Sifa za muombaji:
1. Awe na nia ya kazi anayoiomba sio kujaribu.
2. Umri...
Habari za majukumu,
Naamini nyote mpo salama, natafuta tafiki wa kiume mwenye hofu ya Mungu, anayejua na kujali thamani ya mtu asiwe mlevi wa pombe wala sigara wala wanawake, awe mkristo. Mwenye...
Jamani ni me natafuta mwanamke wa kuanzisha naye maisha na familia pia.umri wangu ni miaka 29 kazi yangu ni mfanya biashara mdogo,location nipo mbeya kama uko tayari nichek pm
Nina free time ya kutosha kwa sasa natafuta ke wa kuchati nae mambo mbalimbali za mapenzi, pesa, ndoa mahusiano na mambo mengine ya kimaisha nitamshauri atanisahuri kama upo njoo pm
Holla!
i'm a boy age 33yrs old, Muslim, i have one kid. I am looking for a single lady for a serious relationship in the future.
She should be between 20yrs and 30yrs old, muslim, with no or...
Hello natafuta sex partner mm ni male niko gongolamboto ke alietayari njoo pm for my number umri usizidi 28
Money involved, no lodge no guest just home room ipo
Habari wakuu,natafuta mwanamke umri kuanzia 28 mpk 35 asiwe na mtoto maana silei mbegu ya mtu kazi yangu ni daktari(MD)kwenye moja ya hospitali za rufaa hapa Dar alie interested aje inbox.ahsanteni
habari wandugu,nina mwaka wa tatu sasa nipo single lakini nahisi si dhambi kuwa hivi nilivyo,wakati umefika sasa wakumpata mke mwema.najua wapo wadada wazuri tu mbele ya mungu na wanadamu...
NAMTAKA SINGO MAZA
1 Nimehangaika sana, kuyatafuta mapenzi
Niliowapa amana, hata hawakuienzi
Nikapigwa dana dana, na kufanyiwa ushenzi
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa
2 Aloumizwa ja mimi...
Hi mimi ni dada, natafuta marafiki wa ku chat nao siishi TZ na kuna muda na tu unatamani tu kupata wa nyumbani kuongea nae na ku exchange mawazo na uzoefu.
Any age, and gender karibuni. Sina...
Kama ww ni mwanaume una stress za mapenzi, kazi au familia naomba tukutane nikufariji tulewe tupate tabasamu jipya.
Usiri ni muhimu, so unaweza kuwa huru na mimi kusema chochote usiumie mwenyewe...
Hellow
Niliwai kuleta uzi hapa kuulizia wapemba wapoje
Hii ni wakati wangu kwanza kudate na bint wa kipemba na wakiislamu mtumbue ilo huyu mpemba nilimpata katika mizunguko tukaanzisha...
NAMTAKA SINGO MAZA
1 Nimehangaika sana, kuyatafuta mapenzi
Niliowapa amana, hata hawakuienzi
Nikapigwa dana dana, na kufanyiwa ushenzi
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa
2 Aloumizwa ja mimi...
Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.
Kwa jina naitwa Aziza Ramadhan Abdallah, nahitaji mume miaka 40-70 ambaye anajua wajibu na majukumu yake kwa mwanamke wake, familia yake.
Nicheki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.