Wakuu hodi humu,
Nimekuja na nia ya dhati kabisa kutaka Binti mmoja tu awe nami, sijali kuhusu elimu yake.
Awe tu katulia, life is too short kumanga manga. Kama nia yako imenyooka karibu PM Iko...
NATAFUTA MKE (MWANAMKE WA KUOA)
Assalaam aleykum warahmatulahi ndugu zangu
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta mke wa kuoa.
Mtu atajiuliza why, nitafute mtandaoni ?
Binafsi naamini...
Looking for a kind, authentic soul to share laughs, deep talks, and life’s little moments—hoping for a friendship that could grow into something real. Age 20 to 30's DMs open!”
Let me know if...
Nahitaji mke wa pilli wa kuoa ndani ya miezi 5 tu kuanzia sasa hivi mwezi wa 3, mimi mkristo. Nina miaka 51. Mwanamke asiwe mchaga, mrangi au mpare. Mwanamke awe hajawahi olewa awe na umri 49- 51...
Habari zenu mimi nikijana wa kitanzania umri wangu 35 sio mlefu wala sio mfupi sio mnene wala sio mwembamba dini yangu ni Muslim naish Dar ni mfanya biashara naitaji mwanamke awe Muslim miaka 20...
Nina miaka 33
Dini mkristo
Elimu Degree
Kazi muajiriwa
Natafuta mke asizidi miaka 30
Sijabadili Id kama wengine ni maisha yangu ya nyuma tuu karibuni.
Kigezo
Awe tuu na hofu ya Mungu.
Awe tayari...
Nina furaha kubwa wiki hii,nimefanikisha mwanamke na mwanaume mmoja,kukutana na kukubaliana kuoana.Moyo wangu umejaa furaha baada ya wote kunipigia simu na kuniambia baba asante sana,harusi yao...
Male 42, natafuta mwanamke wakuzaa nae japo na mie niitwe baba.
Huduma zote kuanzia mimba inapoingia mpaka kujifungua na malezi ya mtoto na mama yote juu yangu.
Mwanamke awe tayari kushika mimba...
In selecting the right woman to marry, make an effort to choose one who shares your ideals and ideas. A woman exactly who loves children and pets is the best choice for your partner. Your lady...
My name is fox, Am looking a woman, age between 25 to 35 for true relationship which will lead us for marriage, Any woman who is serious in relationship just PM.
Nahitaji kuoa mke wa pili awe na sifa zifuatazo:-
Dini yoyote ila watoto wangu watakuwa wakristo
Umri kati ya miaka 25 hadi 35
Awe mwajiriwa.
Awe tayari kuwa mke.
Akiwa na mtoto mmoja tayari...
Mimi ni kijana wa miaka 23 ni mwajiriwa mpya katika jeshi Fulani Nina miezi 2 elimu degree ya upelelezi na Usalama ,Nafanya kazi kwenye taasisi ya jeshi Fulani natafuta Binti wa kuoa awe chini ya...
Hodi humu ndani.
Naitwa Johnson mwenye umri wa miaka 38, natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri miaka 35 nakuendelea, Ambaye tayari ashamaliza mambo ya ujana.
Awe tayari kuishi mahali popote,awe...
Nitajihidi kumuelezea japo kwa uchache na nitatumia picha.
Ndugu msomaji tafadhali sana mwambie mume wake namtafuta sana.
Kwanza kabisa si mnene sana japo kajazia kidogo pia ni mrefu.
Si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.