Mpenzi wa kike anatafutwa

Leon jeaph

Member
Mar 9, 2019
88
81
Habari za wakati,husika na kichwa hapo juu,natafuta mwanamke ili awe mpenzi,awe anaishi dar,awe anafanya kazi umri kuanzia miaka 32 na kuendelea......Mimi Nina miaka 26 ninafanya kazi na najiweza kiuchumi,napenda mwanamke mkubwa kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom