Rais wa Kenya, William Ruto amesema hatomuomba msamaha yoyote kwa kitendo cha yeye kujenga Kanisa Ikulu ambapo amewashangaa wanaoanza kuleta manenomaneno kwasababu amejenga Kanisa hilo huku...
https://youtu.be/05F_thApmuY?si=2FY_ab04Lot3yoUn
Hili limetafsiriwa tofauti na wananchi waliokuwa wanamsikiliza. Waziri Murkomen ameliambia jeshi la polisi la Kenya kama atatokea mtu anataka...
Umoja wa Mataifa umesema kuwa una wasiwasi sana na vurugu zilizotokea wakati wa maandamano nchini Kenya ambapo takriban watu 16 walifariki huku wengine wakiwa na majeraha huku wakitoa wito wa...
Kenya ina vijana wengi sana ambao wameikimbia nchi yao, na wengi wao ni wale wenye elimu na akili nyingi. Hawa waliobaki Kenya hali zao za kiuchumi sio nzuri na hawajui kwanini hali zao kiuchumi...
Naomba tupate clip ya huyu Dada Stella Agara akiongea juu ya utawala ulioshindwa WA Ruto. Dada kashusha nondo vibaya Sana. Ana sema Ruto aondoke kwa kujiuzulu mwenyewe, ikiwa njia zingine...
Ukifika Kenya hakuna story zaidi ya habari za nairobi,Huwa najiuliza maswali serikali ya kenya haiendelezi maeneo mengine zaidi ya nairobi
Maana story zote ni Nairobi,Wakiposti vitu ni vya...
Gavana wa Embu, Cecily Mbarire, amemshambulia vikali aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, akimtuhumu kufadhili makundi yenye vurugu kuingia kwenye maandamano ya vijana hivi karibuni na...
Rais wa Jamhuri ya Kenya na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Mheshimiwa Dkt. William Samoei Ruto, amemteua Meja Jenerali David Kipkemboi Ketter kuwa Kamanda wa Jeshi la Nchi Kavu (Kenya...
Rais William Ruto amepuuza wito unaoongezeka kutoka kwa viongozi wa upinzani wanaomtaka ajiuzulu, akiwataka badala yake waje na mpango mbadala unaotekelezeka badala ya kuchochea vurugu na hali ya...
Hiyo ndio taarifa kutoka nchi jirani ya Kenya kwamba jana kulikuwa na jaribio la kupindua Serikali
Waziri wa mambo ya ndani mh Murkomeni amesema wanasiasa waliofadhili Uhaini huo wanasakwa...
Kenya ni taifa ambalo halijawahi kuupata Uhuru wake hata kidogo. Hata Mzee Jaramongi Odinga alipoandika kitabu chake cha "Not yet Uhuru" alimaanisha lakini walimpuuza.
Wakenya ni wakimbizi kwenye...
Update
At least 16 people have been killed in nationwide rallies against police brutality and government corruption in Kenya, according to Amnesty International and the Kenya National Commission...
Waandamanaji wakicheza mpira wa miguu katikati ya moshi wa gesi ya kutoa machozi katika mitaa ya Nairobi wakati wa maandamano ya kumbukumbu ya Juni 25.
Tukio hilo lilitokea katikati ya maandamano...
Mahakama Kuu imekataa kushughulikia ombi la mdomo lililotaka Rais na maafisa wengine wa serikali watangazwe kuwa wameidharau mahakama kutokana na uteuzi wa wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi na...
Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya, David Maraga amejiunga katika maandamano ya vijana (Gen Z) jijini Nairobi akilaani ukatili wa Jeshi la Polisi dhidi ya vijana.
Maelfu ya waandamanaji nchini Kenya...
BUNGE LA KENYA LALAZIMIKA KUAHIRISHA KIKAO CHAKE KUTOKANA NA UPUNGUFU WA WABUNGE HUKU MAANDAMANO YA GEN-Z YAKIENDELEA
Bunge la Kitaifa la Kenya lililazimika kuahirisha kikao chake mapema leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.