Watu wasiopungua watano wameuawa katika maandamano ya Saba Saba ya leo huku makabiliano kati ya polisi wa kupambana na vurugu na waandamanaji yakizidi kushika kasi.
Katika eneo la Kangemi, raia...
Hilo ndilo kosa kubwa linalofanywa na uongozi wa Kenya siasa kwenye vyombo vyao vya habari ni Kwa 95%,vipindi vya kimaendeleo Kwa Kenya vinapatiwa 5% only,Tujifunze Kwa majirani, hakika mungu...
Hali ilivyo Kenya inasikitisha sana, ustaarabu hawana, utu hawana na wala sio waungwana.
Mshana Jr alinusurika kuliwa na wala nyama za watu akiwa Uganda.
Moses Kuria ajiuzulu nafasi ya Mshauri Mwandamizi wa Masuala ya Kiuchumi wa Rais William Ruto, asema anakwenda kufuatilia masuala yake binafsi.
==================
Moses Kuria resigns as President...
Waziri mkuu mstaafu wa Kenya Raila Odinga amekemea mauaji yanayofanywa na Polisi na kusema ni aibu kwa taifa lao.
Raila amesema Kenya ililibadili Jeshi la Polisi na kuwa Huduma ili kuliondoa...
Rais wa Kenya, William Ruto, ameendelea kusisitiza nia yake ya kujenga kanisa la kisasa ndani ya Ikulu (State House), akipinga vikali kauli za baadhi ya watu wanaodai kuwa mradi huo utagharimu...
Wakuu,
Yaani Kenya kila mtu mbabe. Inaonekana kwenye haya maandamano kuna vijana wamevurugwa to the point wanachoma mali za Serikali.
Hii ni video inayoonesha vijana ambao The Citizen imewaita...
Kenya is increasingly becoming unsafe for its youth and general population due to a worrying surge in state violence, police brutality, and crackdowns on protests. Recent events, including the...
Rafiki yangu Prof Malima kitambo tu alitenga chumba kimoja cha kuswalia pale Wizara ya Fedha basi maneno yalikuwa chungu mzima eti kajenga Msikiti wizarani
Rais Ruto amesema hajali wala hataomba...
Kiongozi wa chama cha DCP na Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua amepuuzia madai kwamba aliwalipa makundi ya vijana kuharibu mali wakati wa maandamano ya Juni 25 ya GenZ akidai kuwa serikali...
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga, amelalamikia vikali kauli ya Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen, aliyewataka polisi kuwafyatulia risasi raia watakaokaribia vituo vya...
Serikali ya Kenya imefuta bili ya hospitali ya shilingi 815,805 aliyokuwa akidaiwa Boniface Kariuki aliyepigwa risasi na polisi wakati wa maandamano ya Juni 25
Kupitia taarifa iliyotolewa na...
Aliye wahi kuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, amesema kuwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2022 alifanikiwa kuwahamasisha watu milioni 4 kutoka eneo la Mlima Kenya kumpigia kura William...
Boniface Kariuki, mchuuzi aliyepigwa risasi wakati wa maandamano wiki mbili zilizopita jijini Nairobi, amefariki dunia. Msemaji wa familia, Emily Wanjira, amesema Kariuki alithibitishwa kuwa...
Rais William Ruto ametangaza kuwa serikali yake imevifungia zaidi ya vituo 1,000 vya afya vilivyohusika na udanganyifu dhidi ya Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA). Akizungumza na Wakenya wanaoishi...
Maelfu ya vijana siku ya Alhamisi walivamia na kulichoma kituo cha Polisi cha Mawego kilichopo Rachuonyo Mashariki, Kaunti ya Homa Bay, huku wakibeba jeneza la marehemu mwanablogu Albert Ojwang’...
Vijana nchini Kenya wametambulisha chama kipya cha siasa kilichopewa jina la 47 Voices of Kenya Congress, ambacho tayari kimeingia rasmi kwenye uwanja wa siasa baada ya kusajiliwa rasmi.
Hiki ni...
"Rais Ruto aliniuliza kuhusu Kikosi Maalum cha Mauaji (Special Service Unit) mara tu baada ya kuapishwa, na mimi nilikuwa naisikia kwa mara ya kwanza. Waziri wa Mambo ya Ndani hafahamu kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.