Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Oya Gen Z nimesikia mshua anataka kupeperusha bendera ya Kenya 2027 amtoe kitini Kasongo/ Zakayo. Ni kweli wanetu? Je mshua ataweza mafyadefyade ya wanasiasa,angekaa zake akachili akapiga...
1 Reactions
3 Replies
282 Views
Alikuwa akiwaambia mawaziri wake kwenye kikao cha baraza Amesisitiza maendeleo analeta sasa na ahadi zote atatimiza Citizen tv 📺 Ahsanteni sana 😁
1 Reactions
2 Replies
252 Views
Naibu Inspekta Jenerali aliyeandamwa na tuhuma, Eliud Lagat, ametoa maelezo kwa Mamlaka Huru ya Kusimamia Utendaji wa Polisi (IPOA) kuhusiana na kifo cha mwalimu Albert Ojwang’. Awali, Lagat...
0 Reactions
2 Replies
343 Views
Mhubiri mwenye utata kutoka Kenya, Gilbert Deya, amefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea Jumanne jioni karibu na mji wa Kisumu, magharibi mwa Kenya Kwa mujibu wa taarifa ya polisi...
1 Reactions
2 Replies
459 Views
Huduma ya Polisi ya Taifa (NPS) imepokea kwa wasiwasi mkubwa tukio la kupigwa risasi kwa raia asiye na silaha na askari wa polisi aliyekuwa akitumia bunduki ya kudhibiti ghasia, tukio lililotokea...
3 Reactions
5 Replies
760 Views
Ni kwasababu hawajui wanachotaka, hawamjui aduai yao au hawaelewi namna bora ya kudai mabadiliko wanayohitaji na badala yake wanajikita kwenye uharibifu wa samani za umma ambazo baadae...
0 Reactions
2 Replies
302 Views
Mamlaka Huru ya Uangalizi wa Polisi (IPOA) imemuita Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Eliud Lagat, kuhojiwa kuhusiana na kifo cha mwalimu na mwanablogu Albert Ojwang, aliyefariki akiwa kizuizini...
1 Reactions
2 Replies
655 Views
KONSTABO James Mukhwana, ambaye kwa sasa anashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya kikatili ya mwanablogu na mwalimu Albert Ojwang’, hatimaye amevunja ukimya na kufichua kwa kina kilichotokea usiku wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika LIVE moja iliokua inaendelea kule mjini TIKTOK wakati wengine wakiwa na mabango vikundi kadhaa vilkua bussy na uizi katika mduka ya Smoothers, Polisi wameingilia kati lakini walikua...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Kwa kinachoendelea hivi sasa na vijana kwa ubishi mkashindwa kumsikiliza Gachagua akiwaonya juu ya mauji kutokea katika hizi vurugu Wakina Martha Karua mpo kimya, waokoeni Hawa vijana dhidi ya...
1 Reactions
16 Replies
661 Views
Baba wa marehemu Albert Omondi Ojwang’, Meshack Ojwang’, amesema kuwa familia inaendelea kuzingatia kumsafirisha mtoto wao mahali pa mwisho pekee tu baada ya kuthibitishwa kuwa haki imekamilika...
2 Reactions
19 Replies
731 Views
IGP wa Kenya alisema kuwa Ajwang alijipiga kweye kuta za gereza na kujiua. Ona CCTV camera zilivyomuumbua!
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Kiongozi wa Chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amekataa ombi la Naibu Rais Kithure Kindiki la kumuomba na kumshawishi ajiunga na utawala wa Rais Ruto Haya yanajiri baada ya DP Kindiki kujaribu...
1 Reactions
1 Replies
309 Views
Mamlaka ya Uangalizi wa Polisi Huru (IPOA) nchini Kenya imewakamata raia watatu kwa tuhuma za kuhusika na kifo cha Albert Ojwang’, aliyefariki katika mazingira ya kutatanisha akiwa mikononi mwa...
0 Reactions
5 Replies
444 Views
Naibu Inspekta Jenerali (DIG) wa Huduma ya Polisi ya Kenya, Eliud Kipkoech Lagat, ametangaza rasmi kujiondoa kwa muda kazini wakati uchunguzi ukiendelea kuhusu kifo tata cha mwanablogu Albert...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Polisi wa kutuliza ghasia wasababisha kifo cha kijana mmoja aliyekuwa kwenye maandamano ya kudai haki kifo cha Ojwang na hivyo kuongeza hasira ya wananchi dhidi ya ukatili wa polisi Video...
0 Reactions
1 Replies
969 Views
Lamu Port will on Thursday come to life as 204-metre long Mv CAP Carmel, a Denmark-based shipping line, with general cargo from Port of Dar es Salaam, docks on its way to Salalah in Oman. Mv...
7 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais wa Kenya, William Ruto, amezungumza kwa msisitizo kuhusu siasa za upinzani, akisema kuwa serikali haiwezi kuachia madaraka kwa watu ambao mpango wao pekee wa kisiasa ni kauli ya “Ruto must...
0 Reactions
6 Replies
599 Views
An artistic impression of JW Marriott Masai Mara Lodge’s junior suite tent bedroom. PHOTO | COURTESY | MARIOTT INTERNATIONAL Global hotel chain Marriott International has signed an agreement with...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, Kwa niaba ya JF, nitahakikisha mnafahamu kinachojiri toka hapa Kenya ambapo uchaguzi Mkuu unatarajiwa kufanyika hapo kesho. Tayari Raila Odinga ametangaza kuwa Muungano wa NASA utakuwa...
7 Reactions
330 Replies
102K Views
Back
Top Bottom