Tanzania's BRT system has been running for 3 years

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,274
24,141
February 4, 2019
Dar -es-Salaam, Tanzania

Tanzania's BRT system has been running for 3 years

As Kenya awaits 64 high capacity buses this month, Tanzania has been providing rapid transport through high capacity buses for close to 3 years now. Mashirima Kapombe was in Dar Es Salaam, Tanzania and now reports.

Source: Kenya Citizen TV
 
Long way to go.
Capacity of 200,000 people a day is nothing to brag about.
Citi hoppa alone probably carries more than that.
Offcoz we have long way to go ila Nairobi you have no way to go! We have a plan (siyo kuchora road) phase 2 imeanza kujengwa this Feb! phase 3 & 4 zinaanza 2020 & 2022. Nyie pambaneni na ma cartel ya wakikuyu na makalenjin a.k.a ma sacco

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Calm your titties. Drawing the pink line is temporary.
We are finalizing on BRT designs right now, and every new road in Nairobi will come with a BRT lane.
Our phase one will be bigger than all your phases combined.

br1.JPG
br2.JPG
br3.JPG
br4.JPG
 
Calm your titties. Drawing the pink line is temporary.
We are finalizing on BRT designs right now, and every new road in Nairobi will come with a BRT lane.
Our phase one will be bigger than all your phases combined.

View attachment 1015821View attachment 1015822View attachment 1015823View attachment 1015824
So unachotaka kusema mnanunua BRT buses yataanza kupita kwenye pink BRT drawings! matatu yata acha kutoa huduma, then baadae BRT buses zita park ili kupisha ujenzi uanze, mtarudisha matatu! ujenzi uki isha matatu zitaondolewa tena na BRT buses kuanza tena kutua huduma. Ukistaajabu ya Musa...

Kuna kenge mmoja ndugu yenu alisema Nbo haihitaji BRT ...wakat nyie mpo kwenye michoro tunahamia kwenye awamu ya pili 20.3km ,bila ya kusahau nov treni ya kutumia umeme inaanza kazi rasmi.
Dar kwa upande wa usafiri wa umma iliwaacha kitambo, mje mpate darasa

Unafaa ujue kwamba hata bila BRT, Nairobi iko na many organized private bus companies.
Citi Hoppa, Kenya Mpya, Umoinner, Citi Metro nk.. Zote hizi zina mamia ya mabasi.
Kinachokosa ni infrastructure ya kuyapitisha eneo lao la kando.

Kila siku, haya mabasi yanabeba abiria zaidi ya milioni tano.
Sasa, hiyo laki mbili ya BRT yenu utalinganisha aje?
 
So unachotaka kusema mnanunua BRT buses yataanza kupita kwenye pink BRT drawings! matatu yata acha kutoa huduma, then baadae BRT buses zita park ili kupisha ujenzi uanze, mtarudisha matatu! ujenzi uki isha matatu zitaondolewa tena na BRT buses kuanza tena kutua huduma. Ukistaajabu ya Musa...

Sent using Jamii Forums mobile app

Matatu zitaacha tu kati kati ya jiji la Nairobi (CBD).

Alafu, mwezi huu tunaleta mabasi 64. Hiyo ni pilot project.
Nairobi inahitaji karibu mabasi 1500.

Ujenzi wa BRT utaendelea kama haya mabasi 64 yako tu.
 
yaani shida ya nchi zetu ni poor planning tunashindwa kabisa kufikiria
Calm your titties. Drawing the pink line is temporary.
We are finalizing on BRT designs right now, and every new road in Nairobi will come with a BRT lane.
Our phase one will be bigger than all your phases combined.

View attachment 1015821View attachment 1015822View attachment 1015823View attachment 1015824

iyo project mbona ni kali sanaa !! ila shida moja ya nchi zetu izi ni poor planning ktk planning zao hawahusishi kbs sustainability (long term planning) iyo project ya super high way ya kenya ni safi sanaaa ila ss wakisema tena wavunhe vunje waweke miundo mbinu ya BRT offcourse itakuwa ni destruction ktk project ambayo haina hata miaka 10+ na kwa jinsi iyo design ilivyo i am sure iyo project it will takes long time
 
mbona London BRT hawana vinjia vyao vya kupita kama hii BRT yetu hapa TZ naona Kenya na nyinyi mnataka kuingia ktk mtego huo huo iyo iyo barabara inatosha kbs
 
Unafaa ujue kwamba hata bila BRT, Nairobi iko na many organized private bus companies.
Citi Hoppa, Kenya Mpya, Umoinner, Citi Metro nk.. Zote hizi zina mamia ya mabasi.
Kinachokosa ni infrastructure ya kuyapitisha eneo lao la kando.

Kila siku, haya mabasi yanabeba abiria zaidi ya milioni tano.
Sasa, hiyo laki mbili ya BRT yenu utalinganisha aje?
BRT imekamata morogoro road ambayo ndio ilikua inafoleni kali sana hapa mjini,bado daladala zinapiga kazi...lengo la brt ni kupunguza foleni kwenye barabara kubwa zote Za jiji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matatu zitaacha tu kati kati ya jiji la Nairobi (CBD).

Alafu, mwezi huu tunaleta mabasi 64. Hiyo ni pilot project.
Nairobi inahitaji karibu mabasi 1500.

Ujenzi wa BRT utaendelea kama haya mabasi 64 yako tu.
Kwani Dar kumejengwa BRT sababu ya uhaba wa mabasi? Rejea maana ya abbreviation BRT kwanza ndio utajua nini kilifanya Dar kuleta hii system.
 
mbona London BRT hawana vinjia vyao vya kupita kama hii BRT yetu hapa TZ naona Kenya na nyinyi mnataka kuingia ktk mtego huo huo iyo iyo barabara inatosha kbs

London hawana BRT ila wana bus lanes lakini sio continuous
 
Back
Top Bottom