Wajuba... mapipa bilioni 4.8 sio mchezo
=======
Kenya is just weeks away from announcing the discovery of new oil resources in the Lamu basin, bigger than what was found a decade ago in Turkana...
It was a special Valentines Day for Paul Muli, 25, who tied the knot to multi-millionaire real estate tycoon Ruth Wanjiru, 31 years his senior.
The couple formalised their three-year...
MY TAKE: Wale wakenya waliopiga kelele za Sylvia Mulenge kukataliwa kuajiriwa na Vodacom Tanzania bado wapo hai?
Wale wakenya wanaosema wakenya hawapo huru kufanya kazi Tanzania, ila watanzania...
Hivi karibuni, Kenya wameonekana wakiimega Tanzania kutoka bara la Afrika na kuanzisha bara jipya ambalo linahusisha Kenya na Tanzania.
Taarifa nyingi zinaonesha matamanio makubwa ya Kenya kuwa...
Kapteni Paul Rukaria, amefungua mashtaka dhidi ya Rais #WilliamRuto na Mwanasheria Mkuu wa Serikali akipinga kutenguliwa Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Kitaifa la Biashara la Kenya...
Nisaidieni utata huu. Je, ni sahihi pia kama mwizi akiiba halafu fedha ile akaiwekeza?
===
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini Kenya, Nancy Gathungu amependekeza watu wanaoiba fedha za...
Wataalamu kutoka Taasisi a Utafiti na Tiba (KEMRI) wamesema aina ngeni ya Mbu wa Anophelesi Stephensi kutoka Asia Kusini amebainika kuwepo kwenye makazi ya Watu katika Kaunti ya Marsabit.
Kwa...
Mcheshi Eric Omondi amekamatwa akiongoza maandamano nje ya majengo ya Bunge jijini Nairobi.
Omondi alikuwa akiongoza kundi la vijana waliojengeka vizuri, watanashati katika maandamano, ambapo...
Ripoti mpya iliyotolewa na taaisi ya Kenya Food Security Steering Group imeonesha idadi ya Wananchi walioathirika na Ukame imeongezeka kutoka Watu Milioni 4.2 iliyoripotiwa July 2022.
Pia, ripoti...
Uvamizi huo ni utekelezaji wa agizo la kuchukua Vifaa vya CCTV kwaajili ya kufanyiwa uchunguzi kuhusu madai ya Matiang'i kuwa wiki iliyopita alivamiwa nyumbani kwake na kundi la Askari wasio na...
Seneta Gloria Orwoba wa nchini Kenya amesema anafikiria kuachana na Mtandao wa Twitter kutokana na Unyanyasaji wa Kimtandao. Ameeleza, "Hili suala la kuwa na ngozi ngumu HAPANA! Sisi ni Binadamu"...
Hebu jifunzeni kutoka kwa jirani ili siku nyingine msiwe mnaongea kama wagonjwa wa dementia.
=====
US-backed financier has slapped the Treasury with a default notice for delayed payment of a...
The East African Community (EAC) has received Sh175.4 million ($1.4 million) for a feasibility study on building a four-lane expressway for Kisumu to Uganda through Busia in an upgrade targeted to...
MY TAKE; Hii ni dharau kubwa kwa vyombo vya usalama na serikali ya Kenya kwa ujumla, hovyo Sana polisi na jeshi la Kenya. Njooni mjifunze jinsi tulivyoyasambaratisha makundi ya wahalifu Kibiti.
Ama kweli Katiba bora ni raha sana.
Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani kwenye serikali ya Kenyatta amekimbilia mahakamani kujiokoa dhidi ya kukamatwa na polisi:
Protect me, former Interior...
Mke wa Rais wa Kenya amewataka wakulima nchini humo kuandaa mashamba kwa ajili ya kilimo baada ya maombi ya kitaifa ya kuombea mvua katika taifa hilo lililokumbwa na ukame.
Hata hivyo mamlaka ya...
With the prospect of a sixth consecutive failed rainy season in the east and Horn of Africa, Kenya's president is hoping the heavens will finally open with the help of a national day of mass...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.