Kijana wa miaka 25 aoa Mama wa miaka 56 Kenya


MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Messages
35,816
Likes
141
Points
160
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2008
35,816 141 160
It was a special Valentine’s Day for Paul Muli, 25, who tied the knot to multi-millionaire real estate tycoon Ruth Wanjiru, 31 years his senior.

The couple formalised their three-year relationship in a lavish ceremony in Rock City Hotel in the presence of 250 invited guests, including Wanjiru’s son, 34 and daughter, 23.

They wedded on the poolside surrounded by lush gardens."I love my new husband very much and I am so happy that God has answered my prayers after waiting for so long," gushed the bride.

She planted a generous kiss on Mr Muli’s cheeks as guests broke into spontaneous applause.


Muli appeared in high spirits as he said "I do" to the love of his heart.
"This is the best Valentine’s Day I have celebrated and I am just on top of the world to have Ruth by my side. I love her so much," said Muli.


Daughter a maid
Interestingly, Wanjiru’s daughter, Sarah, was one of the bridesmaids and even took several photos with the couple. She appeared happy.

"I am also very happy for my mom now has a husband to comfort and keep her company. I think they make a very nice couple," she said.

Muli’s mother, Hellen, approved her son’s move, saying she believed the couple was sincerely in love.

"The age difference between the two doesn’t matter. I have faith that they will live together," she said.

The bridegroom runs several businesses in Nairobi, including a printing firm as well as an agency to recruit models for television advertising.

The wedding ceremony was conducted in line with Kikuyu customs, after which an official from the Attorney General’s Chambers conducted the official wedding and issued a certificate to the couple.

Asked about their honeymoon plans, Muli remained silent, saying he wanted to keep it as surprise to his new wife.

Source-The Standard
 
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Messages
35,816
Likes
141
Points
160
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2008
35,816 141 160
Huyo si mama tu, bali anaweka akawa ni Bibi huyu. Mama mwenye mtoto wa miaka 34 na 24, si tabu kuwa ni bibi. lol

Kweli zama hizi ni za mwisho wa dunia
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
82,086
Likes
121,537
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
82,086 121,537 280
Kipenda roho.....
 
Njaa

Njaa

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2009
Messages
979
Likes
236
Points
60
Njaa

Njaa

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2009
979 236 60
To me its cool! the most important thing is true love from both sides, I am somehow sure that the woman loves this young man, but I doubt the love from this boy to a mommy (granny). Anyway, if they are all happy, then it is more than wonderful couple.
 
queenkami

queenkami

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2010
Messages
1,342
Likes
25
Points
145
queenkami

queenkami

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2010
1,342 25 145
kama ni mapenzi ya kweli wala sio tatizo wala hamna cha ajabu as long as they both äre happy.maajabu ni kwa wale wakenya wenzie waliooana midume kwa midume.
 
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Messages
35,816
Likes
141
Points
160
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2008
35,816 141 160
Kuna mkuu wa dini fulani na yeye alifanyaga hivyo hivyo.
 
RayB

RayB

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2009
Messages
2,754
Likes
94
Points
145
RayB

RayB

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2009
2,754 94 145
Nadhani bibi an chapaa na jamaa yuko kimaslahi zaidi. Hii inatokea sana kule pwani za Mombasa na Zanzibar pale mabeach boy wadogo wanapooa vibibi vya kizungu
 
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Messages
35,816
Likes
141
Points
160
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2008
35,816 141 160
Hivi huyu jamaa alitoa mahari kwa nani?
 
Kiwi

Kiwi

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2009
Messages
1,030
Likes
253
Points
180
Kiwi

Kiwi

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2009
1,030 253 180
Kama mapenzi ni ya kweli hongera zao. Kama kijana ni gold digger, nampa pole huyo bibie. Lakini kwa kweli wamependeza.
 
M

Mayolela

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2009
Messages
384
Likes
2
Points
0
M

Mayolela

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2009
384 2 0
kenya nao kwa mambo wako juu?vioja kibao.
 
K

Koba

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Messages
6,143
Likes
506
Points
180
K

Koba

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2007
6,143 506 180
huyo mama looks better kuliko wanawake wengi ninaowajua in their 30s,mbona kina Zuma wanaoa waliowazidi miaka zaidi ya 30 lakini hakuna anayeshtuka...double standard anyone?
 
Magulumangu

Magulumangu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Messages
3,040
Likes
24
Points
135
Magulumangu

Magulumangu

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2010
3,040 24 135
Nadhani bibi an chapaa na jamaa yuko kimaslahi zaidi. Hii inatokea sana kule pwani za Mombasa na Zanzibar pale mabeach boy wadogo wanapooa vibibi vya kizungu
Kaka umenikumbusha siku moja niko pale Kipepeo na Sunrise beach kuna jamaa nilipoteza digital camera yangu so nikasikia something DIGITAL ikabidi nimfuate msela mmoja ras hivi kumuuliza bwana kuna digital camera imepotea hapa jamaa akasema bila wasiwasi,mie pia na kidigital changu nakitafuta nilikipata hapa hapa,nikawa interested kwa mshangao jamaa akasema DIGITAL means VILE VIJIBIBI VIZEE VYA KIZUNGU TUNAVIITA DIGITAL so kitafute tu maan..nilicheka acha mkuu..
 
kui

kui

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2009
Messages
6,473
Likes
5,145
Points
280
kui

kui

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2009
6,473 5,145 280
huyo mama looks better kuliko wanawake wengi ninaowajua in their 30s,mbona kina Zuma wanaoa waliowazidi miaka zaidi ya 30 lakini hakuna anayeshtuka...double standard anyone?
Thanks Koba!,......typical double standard!, older man with a younger woman no problem....younger man older woman, loooooots of issues!

Plus, cha ajabu nini??!!!, si wamependana!
 
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2010
Messages
12,556
Likes
2,369
Points
280
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2010
12,556 2,369 280
Best hata kama ni mapenzi hii kali. Lakini ndo mapinduzi manake wanaume nao tumezidi mbona tunabeba ''sidanganyiki'' hakuna bwelelo wala kelele. Babu miaka 87 kamuoa binti under twenty aka serengeti girl wala hawakusema sana. Anyhow hatukuuzoea huu utamaduni. Mwacheni kijana ajipindue after all age is nothing but a number!
 
jamadari

jamadari

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2010
Messages
295
Likes
12
Points
0
jamadari

jamadari

JF-Expert Member
Joined Feb 13, 2010
295 12 0
Ehh jamaa anafaidi ingawa hatategemea kupata Mtoto kutoka kwa huyo Mama Mtu mzima jamaa itabidi awe na Mke Mdogo wa siri ili aweze kupata Mtoto kwa huyo Mama asahau kwani ameshafunga uzazi hawezi kuzaaa tena nampa hongera huyo kaka kwa ndoa yake hiyo
 
Wacha1

Wacha1

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2009
Messages
12,765
Likes
1,031
Points
280
Wacha1

Wacha1

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2009
12,765 1,031 280
Thanks Koba!,......typical double standard!, older man with a younger woman no problem....younger man older woman, loooooots of issues!

Plus, cha ajabu nini??!!!, si wamependana!

Mwanamke akifika zaidi ya miaka 45 kupata watoto wenye akili nzuri ni shida. Wanaume wanadunda tu upo hapo sio double standard.
 
Idimi

Idimi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2007
Messages
11,527
Likes
3,336
Points
280
Idimi

Idimi

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2007
11,527 3,336 280
Mwanamke akifika zaidi ya miaka 45 kupata watoto wenye akili nzuri ni shida. Wanaume wanadunda tu upo hapo sio double standard.
Ehh jamaa anafaidi ingawa hatategemea kupata Mtoto kutoka kwa huyo Mama Mtu mzima jamaa itabidi awe na Mke Mdogo wa siri ili aweze kupata Mtoto kwa huyo Mama asahau kwani ameshafunga uzazi hawezi kuzaaa tena nampa hongera huyo kaka kwa ndoa yake hiyo
..Of course kupata watoto kwa sasa inaweza kuwa ngumu sana, hasa ukiingatia kibaiolojia kwamba mwanamke akishavuka 40's kunakuwa na complications nyingi sana. Ishu ni kwamba, iwapo Mrs Muli hatazaa, jamaa atavumilia kukaa bila watoto miaka yake yote?
By the way mie nawapa hongera, kwa sababu "Age Aint Nothing, but a Number".
 
Edson

Edson

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2009
Messages
9,262
Likes
824
Points
280
Edson

Edson

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2009
9,262 824 280
wacha wee!
miaka 56 na mume 25!!!!!!!

mwenye mapenzi haoni. nimeamin
 
K

Kwayus

Member
Joined
Feb 18, 2008
Messages
44
Likes
0
Points
13
K

Kwayus

Member
Joined Feb 18, 2008
44 0 13
Mhhh inawezekana sana ila si ndoa ya kudumu

Hongereni sana na kila la kheri
 

Forum statistics

Threads 1,251,536
Members 481,767
Posts 29,775,640