Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Rais wa Kenya na Naibu wake wameanza mkakakti wa kuwanyang'anya mashamba makubwa kwa waliyojimilikisha kipindi cha Rais wa kwanza, wa pili, wa tatu na wanne. Wakati huo wale veterans na familia...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Pamoja na rais wa kenya William Ruto kukejeli maandamano ya Azimio na kuwapiga dongo viongozi wa umoja huo kuwa wamepeleka watoto wao kwenye bunge la Afrika Mashariki, bado wananchi wameonyesha...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Watu 14 wamethibitishwa kufariki huku wengine kumi na watatu wakijeruhiwa katika ajali mbaya eneo la Kakwamunyen kando ya barabara ya Lodwar-Kakuma Jumamosi usiku . Kwa mujibu wa gazeti la Daily...
1 Reactions
1 Replies
708 Views
Nchi hii jirani yetu imekuwa ikikumbwa na wimbi la ongezeko la ma Yesu feki kila kukicha.
3 Reactions
48 Replies
3K Views
Uraia pacha unazidi kuinemeesha Kenya, Wakenya wanapiga hela huko na kuzituma balaa, yaani wamepitiliza kila aina nyingine ya mapato ya nchi... Kenya is now earning more foreign exchange from...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
******** (may he rest in peace)and some of his mean Tanzanians locked out Sylvia simply because she was Kenyan!what a piece of shit.well she's thriving in UG.
1 Reactions
6 Replies
629 Views
Kamanda wa Polisi wa Thika, Daniel Kinyua, amethibitisha kifo cha mfanyabiashara wa Magali James Mwangi (47) kilichotokea baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulika nje ya nyumba yake maeneo ya...
0 Reactions
1 Replies
567 Views
Ni wa kweli au sio wa kweli Mungu aliemtuma ndo anaejua, wakristo wa Tanzania changamkieni huu unabii na huenda ni mkweli mkawa taifa teule. YESU WA BUNGOMA NCHINI KENYA ASEMA WATU 168,000...
3 Reactions
67 Replies
4K Views
Walimu sita wa Kenya wamefikishwa mahakamani, baada ya kukamatwa kwa video ambayo walionekana kuwaruhusu watoto wa shule ya msingi kuiga vitendo vya ngono, katika shule moja magharibi mwa nchi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hadi Sasa haileweki KDF wako DRC kufanya Nini maana Sasa ni miezi imeenda wapo wanazurura tu. Hili jeshi Lina sound kweli. Halijarusha hata jiwe kwa uelekeo wowote. Gen Nyangah anazurula tu na...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
The Star Newspaper Front page tomorrow February 1st, 2023.......... Waandani wa Rais William Ruto wataka makampuni ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kufanyiwa ukaguzi wa Kodi. Aidha wamedai kuwa...
0 Reactions
0 Replies
787 Views
James Sengo Nestroy alikamatwa baada ya kubainika anajihusisha na Usafirishaji Haramu wa Watoto na Watu wenye Ulemavu ambapo aliamriwa na Mahakama, alipe faini ya Tsh. Milioni 563.8 au atumikie...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
THIS IS MY STORY: This is the house I used to rent during my early years of high school. I would wake up at 3am everyday to de-weed people's farms for pocket money. This reminds me of the phrase...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais wa Kenya, William Ruto yupo tayari kupambana na viongozi pamoja na mashirika mbalimbali ambao hawataki kulipa kodi ya Serikali. Amesema kwamba hataki kuona watu wanyonge ndiyo wanaolipa kodi tu
0 Reactions
2 Replies
636 Views
Katika kile ambacho kinaonekana ni mwendelezo wa kukuza sekta ya utalii Tanzania, treni ya kifahari zaidi duniani "Rovos" ya Africa kusini imewasili hapa nchini ikiwa na watalii wapatao 75 na...
5 Reactions
49 Replies
8K Views
Nikiwa hapa uwanja wa kasarani Kenya kama mmoja wa watu wa uangalizi wa uchaguzi toka timu ya Afrika mashariki, Umoja wa Azimio unaongozwa na Raila Odinga unafunga kampeni Katika viwanja hivi vya...
10 Reactions
24 Replies
4K Views
Kutoka tovuti ya Nation: https://nation.africa/kenya/news/politics/kenya-has-only-one-president-and-it-is-me-william-ruto-tells-raila-odinga-4101572 Huku kwetu bahati mbaya busara hii ya kutenga...
10 Reactions
36 Replies
2K Views
Utawala wa Rais William Ruto umekopa zaidi ya Sh137 bilioni katika muda wa miezi mitatu tangu kushika wadhifa huo, na kurekodi wastani wa kukopa kila mwezi wa Sh45.8 bilioni, katika kipindi...
0 Reactions
4 Replies
548 Views
Mitume na manabii wanaitoa huduma za maombezi kwa kutumia mafuta na maji wametakiwa kujisajili kwenye mamlaka rasmi zinazosimamia huduma hizo. wale wanaouza maji wametakiwa kujisajili kwenue...
14 Reactions
38 Replies
2K Views
Kenya Revenue Authority (KRA) is linking its systems to all telecommunications companies in Kenya to monitor in real-time purchase of airtime, internet, & mobile money transactions. The system...
0 Reactions
2 Replies
479 Views
Back
Top Bottom