Kiongozi huyo wa Upinzani kupitia Muungano wa Azimio la Umoja One ameitisha Maandamano ya Nchi nzima ya Kutotii Serikali kuanzia leo Machi 9, 2023 akidai Serikali ya Rais William Ruto imepuuza...
Hotuba ya Mama jana ikiangaliwa na wengi isingeweza kupita bure.
Akijinadi kuwa wenzetu wako vibaya zaidi kiuchumi kuliko sisi, ingepokelewa vipi na majirani zetu?
Kwamba mama alikuwa...
1. How do I brag yourself as a big economy in EA and fail to secure parts of your land ? How big are you?
2. How can you isolate some parts of your land to bandits and embrace only few?
3. Sapose...
Number kama zimeandikwa na mtoto wa kindergarten!!? Nipo hapa Kawe roundabout naongozana na Gari ya huko kwenu, nimeona aibu mimi Mtanzania kwa niaba yenu.
Ona hapo number plate ya Tz.
Way...
Huyu huyu Raila Odinga aliyekuwa darling wa Mzungu alikuwa kila kukicha yuko Ulaya au USA kuchongea wenzake, Raila Odinga aliyepeleka wenzake The Hague leo hii Mzungu kamgeuka na kapigwa ban...
Raila anawaambia Wakenya vitu vimepanda bei, (kama wanakubaliana naye) watu waandamane siku ya Jumatano.
Kwanza Raila alitoa ultimatum kwa Rutto, ultimatum ya wiki mbili ambayo itaisha...
The government and stakeholders in the public transport sector have been challenged to ensure the country’s public transport system is safe, efficient and without any form of harassment.
This...
Taifa la Kenya linawaka moto kufuatia Mhimili wa Utendaji kuingia kwenye mgogoro wa kikatiba na Mhimili wa Mahakama (ambayo ndiyo inastahili kutafsiri sheria ikiwemo Katiba).
Mataifa ya Magharibi...
Siku chache baada ya Mahakama ya Juu nchini Kenya kuruhusu Jamii ya Watu wa LGBTQI kuunda Chama chao, Makamu wa Rais, Rigathi Gachagua amesema kuwa hawawezi kuruhusu kitendo hicho, kwani Rais...
Rais wa Kenya, William Ruto na mkewe wametambulisha mfumo mpya wa kufanya maombi kwa ajili ya Nchi hiyo kwa kufunga kutokula na kufanya maombi mara moja kwa wiki ikidaiwa kuwa utaratibu huo pia...
Elijah Mwangi Muthoga, alikamatwa Desemba 2021 akiwa na lita 11 za mafuta ya transfoma ambayo yalikuwa yakitumika kupika chipsi kwenye Hoteli yake na pia kupakiwa tena ili kuuzwa kama mafuta ya...
Watu watatu ikiwemo afisa wa polisi na polisi jamii wawili wameuawa kwa kupigwa risasi wakati wa msako wa wahalifu walioua raia watano Samburu. Mapigano hayo yaliyodumu usiku yalipelekea kuuawa...
Today we are happy to launch eSIM (embedded SIM), a digital SIM that enables customers to access same functionality as someone using a physical SIM.
You no longer need to fear damaging or losing...
Maandamano yametokea Mitaa ya Dubois, Gikomba na Nyamakima Jijini Nairobi wahusika wakidai uwekezaji unaofanywa na Wafanyabiashara raia wa China kuuza vitu kwa bei ya chini ni hatari kwa biashara...
Rais William Ruto na kiongozi wa Azimio Raila Odinga wote wamejitokeza leo kukosoa uamuzi wa Mahakama ya Juu kuruhusu usajili wa vikundi vya ushawishi vya LGBTQ.
Pamoja na Naibu Rais Rigathi...
Serikali ya Kenya imezikumbusha mamlaka zake umri wa kustaafu kwa watumishi wa umma kilazima ni miaka 60 na 65 kwa wenye ulemavu kulingana na kanuni za tume ya utumishi wa umma za mwaka 2017 na...
BBC Swahili wanalipoti kuwa mahakama ya juu nchini Kenya imeanza vyema kuruhusu wapenzi wa jinsia moja kuwa na haki ya kujumuika, hii ni ishara sasa kenya inaelekea kule walipo waliokaaga mwanzo...
UPDATE:
Chama cha Wafanyakazi wa Usafiri wa Anga cha Kenya (Kawu) kimetaka wanachama wao kuacha kazi leo baada ya Mamlaka ya Uwanja wa Ndege wa Kenya kukamilisha na kutekeleza Makubaliano ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.