Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

William Ruto amemjibu Raila Odinga kuwa asithubutu kuingiza wananchi barabarani kwani Kenya inaongozwa kwa sheria sio maandamano. Ikumbukwe kuwa Raila Odinga alihitisha maandamano ya kitaifa...
21 Reactions
84 Replies
6K Views
Kevin Anunda Mogaka, Francis Manyara Ogata, na Bravin Osano Ombongi wanadaiwa kuendesha akaunti 15 kwenye #WhatsApp na #Telegram, ambapo waliomba Kati ya Tsh. 48,000 - 672,317 kutoka kwa Wazazi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Job Title: Call Center Sales Representative (Remotely) Location: Nairobi, Mombasa Salary: 300 USD (based on meeting productive hours) Job Type: Full-time, 6 days per week, 8 hours per day Are you...
1 Reactions
0 Replies
501 Views
Inaonyesha kwamba watu wa Kenya ni watu wa amani. Tuone kesho itakuwa vipi. Sijui Ruto atafan6a Nini kesho. Lakini nimeona video clip,Rais wa Senegal anamfukuza Ruto kwenye mkutano AU. Anamwita...
1 Reactions
3 Replies
992 Views
Nashindwa kuwaelewa hawa ndugu na jirani zetu wakenya hakika kiongozi aina ya raila ni kiongozi asiyefahamu na mroho wa madaraka kupindukia. Katiba mpya walisha ipigania wakaipata na ndio...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kiongozi huyo wa Upinzani amesema Maandamano na Migomo aliyoitisha dhidi ya Serikali itakayofanyika Jumatatu Machi 20, 2023 kwenye jiji la #Nairobi iko pale pale licha ya Vitisho vinavyotolewa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanauchumi naomba mnijuze ni kitu gani kinasababisha Shilingi ya Kenya kuzidi kuporomoka dhidi ya Dollar ya Marekani pia dhidi ya Shilingi ya Tanzania (Tsh). Mwaka 2020 1Ksh = 22.5Tsh. Hivi sasa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Baadhi ya wafuasi wa Azimio wameshiriki katika maandamano yaliyofanyika katika Mji wa Kisumu wakipinga gharama ya maisha kuwa juu na kushinikiza Serikali ya Rais William Ruto kuchukua hatua...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
MY TAKE; Kwa hasira na chuki inayoonekana miongoni mwa vijana wengi wanaoteseka, Kenya italipuka na kuwaka moto wakati wowote kuanzia Sasa.
1 Reactions
3 Replies
669 Views
Naomba kujua manake kelele ni mingi sana joo
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) wamemtembelea kiongozi huyo wa kiroho wa Kanisa la New Jerusalem Sect, Eliud Simiyu maarufu ‘Yesu wa Tongaren’ anayeishi Kaunti ya Bungoma ambaye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kiongozi wa kiroho wa Kanisa la New Jerusalem sect lililopo Bungoma nchini Kenya, Eliud Simiyu. Kenya. Kiongozi wa kiroho wa Kanisa la New Jerusalem sect lililopo Bungoma nchini Kenya, Eliud...
6 Reactions
56 Replies
5K Views
Wafuasi wa Azimio katika Kaunti ya Migori wamefunga sehemu ya barabara wakilalamikia gharama ya juu ya maisha na kuunga mkono mwito wa Raila Odinga wa maandamano makubwa. ===============...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
https://www.JamiiForums.com.com/data/attachment-files/2023/03/562287_83715675466eb058c7249ee11015d84f.mp3 Jiji Scams #inbox I can only talk about this cause I've fully healed. Around 2018 I tried...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Akizungumza katika mahojiano na waandishi wa habari, Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amesema “Hata (Raila Odinga) akienda mtaani kufanya ghasia akiamini Rais (William Ruto) atamwalika kwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kitendo Cha rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgeni rasmi wa mkutano wa chama Cha Upinzani za CHADEMA na kushangiliwa na wanachama hao, ni funzo kwa wanasiasa wa Kenya ambao kwao ni siasa za mivutano...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kenya kuna uhaba wa dola za Marekani sahii tunauziwa dola moja kwa shiligi za kenya 137. Shilingi ya kenya ilikua shilingi 21 za bongo sahii ni 18. Bongo dola ni pesa ngapi
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wizara ya Elimu nchini Kenya imeanzisha msako mkali dhidi ya kile ilichotaja kuwa kupenyezwa kwa ajenda ya LGBTQ shuleni. Kwa mujibu wa Waziri wa Elimu, Ezekiel Machogu aliwaambia maseneta siku ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Polisi wa #Mombasa wanachunguza kisa cha Mercy Masambaga anayedai kujifungua mtoto wa kiume katika hospitali ya #Portriez Februari 26, 2023 na kukabidhiwa mtoto aliyekufa siku nne baadaye Anasema...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari ya saa hizi wakuu, Hali si shwari huko kwa Ruto, inasemekana uchumi wa Kenya uko katika hali mbaya na wameomba msaada kutoka Tanzania. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali, Kenya imekumbwa na...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Back
Top Bottom