Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Shule ya sekondari ya Noonkopir Girls iliyoko kaunti ya Narok imewatuma nyumbani wanafunzi wote baada ya kesi za usagaji kukithiri shuleni humo. Kwa mujibu wa ripoti zilizowasilishwa kupitia...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mbona nchi yenu iko vizuri, na kilichopelekea kukengeuka ni nini? Haya maandamano naona kama hayana maana yoyote kwa sababu sioni mahala mnapo gombania. Mmeweka mambo jumla jumla hamtaki kutafuta...
0 Reactions
1 Replies
646 Views
Hii imetokea nchini Kenya. Dume limejifunika vazi la dini fulani ambalo kwa kawaida huvaliwa na wanawake, na likashiriki mashindano ya Chess kwa wanawake!! Kwa bahati mbaya kwake wakalishtukia...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
NAMTAFUTA MCHUNGAJI FRACIS NDACHA WA SDA NIMPE SADAKA YANGU Kwa kazi kubwa iliyotukuka ya kueneza injili naomba kujua ni namna ipi sadaka yangu inaweza kukufikia Kwa yeyote mwenye...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Kiongozi wa Azimio nchini Kenya, Raila Odinga pamoja na viongozi wengine wa upinzani wametangaza kurejesha maandamano ya kila Jumatatu na Alhamisi huku wakisema Serikali haijaonesha nia ya...
3 Reactions
4 Replies
690 Views
Msanii na mfanyabiashara Akothee hatimaye amefunga pingu za maisha na mpenzie Dennis 'omosh' Schweitzer. Harusi hio kubwa iliyofanyika katika mgahawa wa Windsor Golf jijini Nairobi ilihudhuriwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kampuni ya Kensalt Limited ambayo ndio mzalishaji mkubwa wa chumvi nchini Kenya imetangaza kuwa bei ya chumvi itaongezeka kwa Ksh 1000 kwenye Kila tani. Sababu waliyotoa ni Kuongezeka kwa gharama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa taarifa ya Kampuni ya Utafiti wa Masuala ya Anga ya SpaceX, uamuzi wa kusitisha urushaji wa Chombo hicho kilichopewa jina la Taifa-1 kwaajili ya Uchunguzi wa Dunia, umesababishwa na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mambo! Nipe kazi nikuletee bidhaa(kitu gani) hapo katika mji wako wa Nairobi hata Mombasa? Nipe list ya vitu unavyotaka nami nitakupa list ya vitu ninavyotaka nipeleke Tanzania. Tutumie hili...
8 Reactions
80 Replies
8K Views
Piga ua Kibera tumeamua kwenda na Dr Ruto huyo nyanya akalee wajukuu
5 Reactions
27 Replies
5K Views
Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amedai Serikali yao inapata changamoto ya mishahara kuchelewa kwa kuwa Serikali haina fedha kutokana na ukopaji uliopitiliza uliofanywa na utawala uliopita wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Polisi mjini Kisumu wanamshikilia mwenzao baada ya kurusha vitoa machozi ndani ya 'guest' alimokuwa mpenzie akila uroda na mwanaume mwengine. Tukio hilo lilitokea eneo la Nyamasaria kaunti ya...
5 Reactions
14 Replies
957 Views
Mwaka huu kenya moto utawaka moto kati ya wapinzan wawil wakubwa Luto na Odinga huku Odinga akiungwa mkono na Rais aliepo madarakani. Kinachonogesha siasa za safar hii ni kitendo cha rais na...
3 Reactions
115 Replies
12K Views
The Hague chief prosecutor Fatou Bensouda may be forced to seek assistance from foreign countries to compel Kenya to give the court access to government officers and security agents. This would...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais wa Kenya William Ruto amesema nchi hiyo haitakopa ili kuwalipa wafanyakazi wa umma hata kama vyama vya wafanyakazi vilitishia kugoma kutokana na kutolipwa mishahara ya Machi. Ruto alilaumu...
0 Reactions
2 Replies
770 Views
What you need to know: Taifa-1, or Nation-1 in Swahili, is scheduled to be launched on April 10 aboard the SpaceX Falcon 9 rocket from the Vandenberg Space Force Base in California. The...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Naibu wa Rais Rigathi Gachagua leo amefunguka na kukiri kuwa serikali inapitia wakati mgumu katika kuwalipa wafanyakazi wake na hata kutoa fedha kwenda kwa serikali za kaunti, kutokana na uhaba wa...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
MY TAKE; Hivi umri wa katiba ni miaka mingapi?. Umri wa kipepeo ni siku tatu.
3 Reactions
68 Replies
3K Views
Kenya. Watu 10 wamepoteza maisha leo Jumamosi Aprili 8, 2023 katika Kaunti ya Migori nchini Kenya kutokana na ajali ya lori ambalo inaelezwa lilifeli breki na kuparamia kijiwe cha bodaboda Watu...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom