Kenya 2022 Kati ya Raila Odinga na William Ruto - nani yuko juu hadi sasa?

Kenya 2022 General Election

Feld Marshal Tantawi

JF-Expert Member
Dec 24, 2014
609
1,007
Mwaka huu kenya moto utawaka moto kati ya wapinzan wawil wakubwa Luto na Odinga huku Odinga akiungwa mkono na Rais aliepo madarakani.

Kinachonogesha siasa za safar hii ni kitendo cha rais na makamu wake kutofautiana hadharan na kila mtu kuamua kufata njia yake

Najua mlimpo kenya mna wakat mgum sn wa kufanya maamuz hasa pale siku ya kupiga kura itapowadia

Hebu tujuzen katika kura za maon had sasa kulingana na vyanzo mbalimbali nani yuko mbele ya mwenzake katika kuelekea kwenye uchaguzi.

Naamin mliopo kenya mtatusaidia kwa ukaribu sn katika hili

Naomba kuwasilisha
 
Kwa maoni yangu 'run-off', yaani round 2 kwenye kura ya urais haitaepukika. Maanake sioni uwezekano wa mgombea yeyote yule kukidhi vigezo, sanasana kile cha kuongoza kwa kura nyingi, kwenye gatuzi 25 kati ya zote 47. Kwa kumuunga mkono mpinzani wake Raila, Rais Uhuru amezivuruga kweli kweli, zile ambazo zilikuwa zinasemekana kwamba ni ngome za wanasiasa flani.

Hadi sasa hivi mimi bado nipo, pale ambapo huwa wanasema kwa kimombo, 'on the fence'. Bado sijafikia maamuzi kamili kuhusu ni nani haswa ambaye nitamuunga mkono kwenye kinyang'anyiro cha kiti cha urais.
 
Raila aisee... numbers zinambeba za maeneo, supports wakubwa wako nyuma yake wakiongozwa na Uhuru,wanasiasa nguli, magoveners, etc. Ukiangalia cyle ya Rutto haina wanasiasa wengi wenye ushawishi..Raila ana uhakika, ukambani, western kwao na Mombasa .kikuyu central Kenya pia imeonyesha Hana suppoters wengi kutokana na idadi finyu ya walijitokeza wa chama chake kwenye kura za maoni .so Rutto kabakiza kwao tu kalenjin...sidhani kama Rutto anaweza mwangusha Raila kiurahisi..it's hard kwake
 
Mwanzo nilihisi Uhuru anamzuga Odinga hawezi kumpa nguvu ya kugombea Urais ila siku zinavyozidi kwenda sasa naamini Odinga anabeba nchi.ingawa itakua kwa mbinde sana mbele ya mtu mafia na mwenye mikakati mingi Wiliam Ruto.
 
Kenya rais hachaguliwi bali mtu hupewa urais.
Ingekua sanduku la kura linaamua urais Raila angekuwa rais kipindi cha Kibaki.

RUTO
Huyu hapendwi na matajiri wa Kenya na sababu kuu ni hii;
a) Wanasema ni Dikteta
b) Mtu wa visasi
c) Matajiri wanahofu kuwa uwekezaji wao hauko salama hadi Uhuru anahofu Ruto akichukua anaweza kumtia kashikashi kuhusu itajiri na uwekezaji wa familia yake.

RAILA
1. Wanasema ni mvumilivu na hana tamaa
2. Wanasema ni mzalendo kwani mara kadhaa amekubali maridhiano

3. Wanasema mpeni mzee hata muhula mmoja.
Huu ni utafiti wangu mdogo nilipokuwa Nairobi
MK254
 
Daaaa bas kaz ipo bado
 
Kwa maoni yangu 'run-off', yaani round 2 kwenye kura ya urais haitaepukika. Maanake sioni uwezekano wa mgombea yeyote yule kukidhi vigezo, sanasana kile cha kuongoza kwa kura nyingi, kwenye gatuzi 25 kati ya zote 47. Kwa kumuunga mkono mpinzani wake Raila, Rais Uhuru amezivuruga kweli kweli, zile ambazo zilikuwa zinasemekana kwamba ni ngome za wanasiasa flani.

Hadi sasa hivi mimi bado nipo, pale ambapo huwa wanasema kwa kimombo, 'on the fence'. Bado sijafikia maamuzi kamili kuhusu ni nani haswa ambaye nitamuunga mkono kwenye kinyang'anyiro cha kiti cha urais.
Naona wagombea wenza nao wanaweza amua muelekeo utaendaje
 
Raila aisee... numbers zinambeba za maeneo, supports wakubwa wako nyuma yake wakiongozwa na Uhuru,wanasiasa nguli, magoveners, etc. Ukiangalia cyle ya Rutto haina wanasiasa wengi wenye ushawishi..Raila ana uhakika, ukambani, western kwao na Mombasa .kikuyu central Kenya pia imeonyesha Hana suppoters wengi kutokana na idadi finyu ya walijitokeza wa chama chake kwenye kura za maoni .so Rutto kabakiza kwao tu kalenjin...sidhani kama Rutto anaweza mwangusha Raila kiurahisi..it's hard kwake
Muda utaongea naona miez inazid karibia
 
Kitu hamjui Western Kenya ndio ilikuwa biggest voters wa Raila sasa naona Raila akipata 20%Western Ruto-80%,pia Ukambani ilimpigi last time kura 80%this time Raila-50%Ruto50%!
Riftvalley-90%⚡👌
Sababu Kenya Kwanza Coalition ya Ruto inaonekana watachukua
DP wao akuwe Mudavadi-wa western,
Partychairman wa UDA-Muthama-wa Ukambani,
Interiour Security-anaweza kutoka Mount Kenya💡My thought labda watachukua Jimmy Kibaki\Mtoto wa Kibaki-Mount Kenya⚡ili wampokonye kutoka azimio,remember even Kibakis family hawampendi Raila even his own grandson alikataa kumsalimia Raila alipomnyooshea mkono wake,ata Jimmy Kibaki alipotoa speech yake alimsalimia na kumpokea DP Ruto vizuri sana💡
Nairobi Gorvernor-Sakaja-kutoka Western
Nairobi Senator-Bishop Wanjiru-Kutoka Mount Kenya
Nairobi Women Rep-Millicent Omanga-Kutoka Nyanza

Cabinet,Gorvenment ministries and other Sits zitagawanywa kwa all the other tribes✅
Baaaaaas😎Ruto ashachukua kituuuuuuh!!!!

Nayo Coast imemkataa Raila*Chama cha PAA kinachoongozwa na Kingi kinataka kujitoa Azimio coalition kiingie UDA,Aisha Jumwa\Mama simba wa Coast mkono wake umehusikana apo💡
Nayo uko turkana,Kwa waislamu uko juu,Na kwa Maasai uko chini,mambo ni 🔥🔥🔥🔥Ruto Toshaaaaaah!!!!
 
Makabila
 
Riftvalley-90%
Sababu Kenya Kwanza Coalition ya Ruto inaonekana watachukua
DP wao akuwe Mudavadi-wa western,
Partychairman wa UDA-Muthama-wa Ukambani,
Interiour Security-anaweza kutoka Mount KenyaMy thought labda watachukua Jimmy Kibaki\Mtoto wa Kibaki-Mount Kenyaili wampokonye kutoka azimio,remember even Kibakis family hawampendi Raila even his own grandson alikataa kumsalimia Raila alipomnyooshea mkono wake,ata Jimmy Kibaki alipotoa speech yake alimsalimia na kumpokea DP Ruto vizuri sana
Nairobi Gorvernor-Sakaja-kutoka Western
Nairobi Senator-Bishop Wanjiru-Kutoka Mount Kenya
Nairobi Women Rep-Millicent Omanga-Kutoka Nyanza

Cabinet,Gorvenment ministries and other Sits zitagawanywa kwa all the other tribes
BaaaaaasRuto ashachukua kituuuuuuh!!!!

Nayo Coast imemkataa Raila*Chama cha PAA kinachoongozwa na Kingi kinataka kujitoa Azimio coalition kiingie UDA,Aisha Jumwa\Mama simba wa Coast mkono wake umehusikana apo
Nayo uko turkana,Kwa waislamu uko juu,Na kwa Maasai uko chini,mambo ni Ruto Toshaaaaaah!!!!
Huu ndio ukabila nilikuambia, yaani mnatafuta viongozi kwa misingi ya kabila lake, kweli Kenya ni "failed state"

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
ukabila and thats us na hatufichi,not like you who munatawaliwa na CCM ya Waskuma wiki kwa nguvu na ukiongea kidogo unapigwa marisasi kama tundu lissu ama unaekelewa unahujumu uchumi!
Ata Ukabila is everywhere in the world and all of Afrika!👌
 
ukabila and thats us na hatufichi,not like you who munatawaliwa na CCM ya Waskuma wiki kwa nguvu na ukiongea kidogo unapigwa marisasi kama tundu lissu ama unaekelewa unahujumu uchumi!
Ata Ukabila is everywhere in the world and all of Afrika!
Kwahiyo unaona ufahari Kenya kuendekeza ukabila kwasababu ukabila upo sehemu nyingi Africa?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kitu hamjui Western Kenya ndio ilikuwa biggest voters wa Raila sasa naona Raila akipata 20%Western Ruto-80%,pia Ukambani ilimpigi last time kura 80%this time Raila-50%Ruto50%!
Riftvalley-90%⚡👌
Sababu Kenya Kwanza Coalition ya Ruto inaonekana watachukua
DP wao akuwe Mudavadi-wa western,
Partychairman wa UDA-Muthama-wa Ukambani,
Interiour Security-anaweza kutoka Mount Kenya💡My thought labda watachukua Jimmy Kibaki\Mtoto wa Kibaki-Mount Kenya⚡ili wampokonye kutoka azimio,remember even Kibakis family hawampendi Raila even his own grandson alikataa kumsalimia Raila alipomnyooshea mkono wake,ata Jimmy Kibaki alipotoa speech yake alimsalimia na kumpokea DP Ruto vizuri sana💡
Nairobi Gorvernor-Sakaja-kutoka Western
Nairobi Senator-Bishop Wanjiru-Kutoka Mount Kenya
Nairobi Women Rep-Millicent Omanga-Kutoka Nyanza

Cabinet,Gorvenment ministries and other Sits zitagawanywa kwa all the other tribes✅
Baaaaaas😎Ruto ashachukua kituuuuuuh!!!!

Nayo Coast imemkataa Raila*Chama cha PAA kinachoongozwa na Kingi kinataka kujitoa Azimio coalition kiingie UDA,Aisha Jumwa\Mama simba wa Coast mkono wake umehusikana apo💡
Nayo uko turkana,Kwa waislamu uko juu,Na kwa Maasai uko chini,mambo ni 🔥🔥🔥🔥Ruto Toshaaaaaah!!!!
Western ni ya Raila,Ruto hapewi western n'go. Na usichokijua Ida Odinga ni mluhya western moja,so wajaka na waluhya huitana mashemeji.
 
Back
Top Bottom