Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) wa Kenya, Noordin Haji amefikia uamuzi wa kuondoa kesi hizo katika Mahakama ya Sheria pamoja na kuahidi kufuta zaidi ya kesi 200 dhidi ya Wafuasi wa Azimio...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Hali inazidi kuwa tete nchini Kenya, vuguvugu la kisiasa linazidi kushika kasi. Kutokana na maandamano yanayoendelea Polisi/ Wanajeshi wanaonekana kutumia nguvu kubwa kuwadhibiti waandamanaji...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mukumu imefungwa kwa muda usiojulikana baada ya Wanafunzi wawili kufariki na wengine takriban 500 kuambukizwa Bacteria kutokana na chakula na maji machafu. Wiki...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Kesho ni jumatatu nyingine: Hili sasa ni lenye kuhitaji akili kubwa: Wenye busara wapo: Lakini siyo huyu bwana: Kwetu wapigania haki au Uhuru kwa jina la ukombozi elimu haina mwisho...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Ila Kenya ndugu zetu wana mambo mazito kweli kweli. Kuna askari kapigwa manati katika maandamano akafariki. Hebu angalia hiyo manati kwenye picha[emoji1787][emoji23], Mungu anisamehe. ===...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Naibu wa Rais Rigathi Gachagua leo kwa mara nyingine tena alifika ofisini kwake, Harambee House, saa kumi na moja alfajiri na kama ilivyo ada alichapisha picha kwenye ukurasa wake wa Twitter...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Cruise ship changes course from Mombasa to Zanzibar and Dar es Salaam. A cruise ship that was destined for the port of Mombasa has changed its course to Tanzania in the face of the ongoing...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau, Mwenye kufahamu sababu tafadhali nijuzwe au kama Dstv wapo hapa wanijulishe. Asanteni.
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Imeelezwa mikopo hiyo iliyochukuliwa chini ya kiongozi huyo wa Kenya Kwanza, William Ruto ina thamani ya Ksh Bilioni 43.4 iliyosainiwa kati ya Septemba 1 hadi Desemba 31, 2022. Hazina imeeleza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mahakama Kuu ya Kenya imechukua maamuzi hayo baada ya Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CA) kutishia kuvifutia leseni na kutoza faini vituo hivyo ikidai vimekiuka kanuni kwa kurusha matangazo hayo...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Waandamanaji Jijini Kisumu wamewaacha watu wengi vinywa wazi baada ya tukio la hapo jana ambapo walivamia hifadhi ya maiti ya Kwee iliyoko ndani ya Hospitali ya Rufaa ya Jaramogi Oginga Odinga...
0 Reactions
1 Replies
616 Views
Rais William Ruto amerejea nchini dakika chache zilizopita ambapo amepokelewa na Naibu wa Rais Rigathi Gachagua, Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Robert Kibochi pamoja na Inspekta Jenerali wa polisi...
2 Reactions
5 Replies
897 Views
Rais wa Kenya, Ruto anakabiliwa na mtihani mgumu mno na kitu kikubwa kwake ni kutumia busara zaidi ya nguvu. Anahitaji maombi na siyo majeshi yake. Kitendo Cha kuwatumia wahuni kushambulia na...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Alhamisi 1 ya maandamano Kenya imekamilika. Ilikuwa siku nyingine ya kazi si kuuza sura: Polisi wafurushwa: Alhamisi imepita macho jumatatu tena.
7 Reactions
55 Replies
4K Views
Kesho ni siku ya kwanza kwa maandamano siku ya Alhamisi baada ya jumatatu iliyopita. Stamina ni muhimu katika mapambano. Kwani kusikia kwa kenge hadi damu masikioni: Stamina, yaani uwezo wa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Jumuiya za Amani na Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa ametoa pole kwa waathiriwa nchini Kenya kufuatia madhara yaliyosababishwa na maandamano vikiwemo vifo na uharibifu wa mali...
0 Reactions
0 Replies
606 Views
Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga kupitia ukurasa wake wa twitter amelalamikia kile alichokitaja kama kushambuliwa na maafisa wa polisi hasa katika eneo la Pipeline, Nairobi ambako msafara wake...
0 Reactions
4 Replies
656 Views
Kimenuka! Kama Ampiclox vile doze kamili 2 x 1. Kwa kinachoitwa kuitikia shinikizo la waliochoshwa na ya bwana Ruto, sasa Tahrir mara mbili kwa wiki. Kwamba si Jumatatu peke yake ila rasmi na...
6 Reactions
98 Replies
7K Views
Watu 14 wamethibitishwa kuaga dunia baada ya basi la Chuo Kikuu cha Pwani kugongana na matatu(daladala) eneo la Kayole, barabara ya Nakuru - Naivasha. Kwa mujibu wa ripoti basi hilo lilikuwa...
0 Reactions
1 Replies
421 Views
Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya Vijana wa Kimaasai maarufu kama 'morans' baada ya kuvamia ardhi ya Uhuru Kenyatta iliyoko Kedong', kaunti ya Narok. Duru za kuaminika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom