Nyeri, Kenya
Naibu Rais ameachilia kombora la utani kwa wanaume wa eneo la Kati, akidai wameshindwa na majukumu muhimu ya ndoa kwa sababu ya kutekwa na ulevi.
Bw Gachagua alisema wanaume wa...
Detectives from the Homicide Unit have identified 12 graves in controversial pastor Paul Mackenzie's land at Shakahola, Magarini Sub-County of Kilifi County.
The homicide detectives from Nairobi...
Prof. Waja-Kaya alikuwa akitoa hutoba yake huko Kenya, na alitoa maneno hayo, maneno haya, kwa maoni yangu, ndio maono ya Dunia kuhusu JPM. Yaani wanaamini kifo chake ni adhabu aliyoipata kutoka...
Wakenya wengi sana wanakuja kwenye hospitali za Mkoa wa Kilimanjaro. Naomba kuuliza, hivi nyie huko kwenu hamna hospitali au shida ni nini hasa?
Kipindi kile Magufuli anataka kuleta Madaktari wa...
It looks like all the financial instruments have been finalized & construction over the troubled Likoni channel is about to start.
LIKKKONI by Rico Mwash, on Flickr
LIK3by Rico Mwash, on Flickr
Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya ndani inayoongozwa na Profesa Kithure Kindiki imetangaza Ijumaa ya Aprili 21, 2023 kuwa Siku Kuu, kusherehekea Idd-ul-fitr.
Kila nikiangalia Afrika Mashariki sehemu mbalimbali za majiji na kuta Nairobi tu.
Kila nikiangalia usafiri wa ndege nyingi ni Nairobi tu.
Tukubali ukweli Nairobi ni jiji
Sitaiweka hapa kutokana na maadili ya JamiiForums ila sisi Waafrika yapaswa tubadilike hizi siasa za kuchafuana hasa kutegeana makamera ya siri kwenye hoteli ili kuharibu ushawishi ni ujinga...
MY TAKE: kwa wale Wakenya ambao hawajafika Tanzania, na bado wanalinganisha barabara za Kenya na Tanzania, piteni huku, someni hii article hadi mwisho.
=========
First impressions of Zambia
To...
Serikali ya Uingereza imemteua Neil Wigan kuwa Balozi mpya wa taifa hilo nchini Kenya, akichukua nafasi ya Jane Marriott ambaye amedumu kwa miaka 4.
Balozi Wigan anatarajiwa kuanza kazi rasmi...
Tukiwa tumebakiza Juma moja kuelekea sikukuu za Eid,sasa kuanzia kesho bei ya Chumvi inakwenda kupanda bei
Wanapoelekea majirani zetu sasa hata sindano za kushomea zitapanda bei
=====
The price...
KENYA HOLLOW DEMOCRACY
Baada ya Raila kuomba servers za matokeo ya urais ziweke wazi ili ijulikane wazi kumetokea kigugumizi kikubwa kwenye tume ya uchaguzi
Swali la kujiuliza tume ya uchaguzi...
Mwaka 2013 Kamati ya Mambo ya Nje na Usalama ya Bunge la Kenya liliwata Wakuu wa Idara ya Usalama wa Taifa ya Kenya (NIC)kupata maelezo ya kina juu ya tukio la Wastegate baada ya kunusa udhaifu wa...
Mkenya Hellen Obiri ameshinda mbio za masafa marefu za Boston Marathon baada ya kuandikisha muda wa 2:21:38.
Bingwa huyo wa olimpiki katika mbio za mita 5000 alishiriki marathon kwa mara kwanza...
Nchi ya Kenya wamefanikiwa kurusha satellite yao kwenda anga za mbali muda mchache uliopita ikiwa imesafirishwa ndani ya rocket ya Falcon 9 kutokea huko katika kambi ya Vendeberg space center...
Inspekta Jenerali wa polisi Japheth Koome amesema kuwa hatishiki na barua iliyotumwa kwenda kwa Mahakama ya kimataifa ICC na upinzani.
Upinzani kupitia Muungano wa Azimio unaoongozwa na Raila...
Tazama baadhi ya waislamu kutoka Kenya walivyonakili safari yao kutoka Nairobi kuelekea Dar Es Salaam, kuhudhuria mashindano makubwa ya Qur'an yaliyoandaliwa na Al Hikma Foundation.
Link[emoji1427]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.