Kenya. Watu 10 wamepoteza maisha leo Jumamosi Aprili 8, 2023 katika Kaunti ya Migori nchini Kenya kutokana na ajali ya lori ambalo inaelezwa lilifeli breki na kuparamia kijiwe cha bodaboda Watu...
Jomo Kenyatta, Rais wa Kwanza wa Kenya Inasemekana hakuwai kuonekena kuhudhuria kanisa lolote au popote katika utawala wake wa miaka 15.
Sasa hivi Ikulu ya Kenya imekuwa pango hadi la manabii na...
Huko Kenya sasa hivi Makanisa yamegeuka kuwa majukwaa ya wanasiasa. Wahuburi wanafanya huduma kwa muda mfupi tu kisha sehemu kubwa ya muda unaobaki wanawaachia wanasiasa waliofika katika inabada...
Wabunge wa Kenya kutoka pande zote mbili, Bunge la kitaifa na Bunge la Seneti wanasherehekea pasaka bila ya mshahara wao wa mwezi uliopita, huku serikali ikiahidi kuwa ipo kwenye mchakato wa...
Asee kuna watu wanajeuri na madharau katika hii Dunia sijawahi ona, Leo ilikuwa ni safari ya kurudi home baada ya kukamilisha kilichonileta huku, nimetoka sehemu niliyofikia (Donholm) fresh sihisi...
MY TAKE: These figures will double in next two years time, while in Kenya also number of people who need food donations will triple during the same period.
----
Tanzania has become a hub for...
Nadhani jirani zetu hawa wana jambo lao ambalo inaonekana ni tofauti na siasa.
Nilisema kama ni siasa basi wafungue server ila hawataki na hiki wanachotambiana kina nwisho mbaya.
DP Rigathi...
Nadhani Shujaa wa Nchi jirani anajulikana
Naibu Rais Gachagua amesema angekuwa yeye pale juu asingemlealea kabisa Raila Odinga na hata Uhuru Kenyatta analielewa hilo
Gachagua amesema ana...
Raila Odinga amesema wafuasi wa Azimio la Umoja waterejea katika #Maandamano iwapo Serikali ya Rais William Ruto itashindwa kuchukua hatua za haraka kupunguza gharama za maisha na kukaa nae katika...
Wapenzi wawili waliwaacha wengi kinywa wazi baada ya kupatikana wakilishana uroda katika eneo la makaburini ya umma ya Langata, Nairobi.
Wawili hao waliitandika leso na kuanza kupapasana bila...
Akihutubia Taifa leo April 2, 2023, Rais #WilliamRuto amemtaka Odinga kuruhusu mchakato wa Majadiliano ya Wabunge wa pande zote kushughulikia madai ya Upinzani, ikiwemo uteuzi wa Makamishna wa...
Hatimaye maandamano yasitishwa. Somo limeeleweka. Ruto kaona umuhimu wa kuongea.
Sisi tuendelee kusubiria maembe kwenye mnazi.
Raila agenda ni zile zile:
Bila kukomaa itakuwa mwendo wa kulialia...
Mchekeshaji Eric Omondi amekamatwa kwenye barabara ya kuelekea Ikulu ya Nairobi akivuta mkokoteni uliojaa masanduku yenye CV za maelfu ya Wakenya wasio na kazi.
Erick alidai kuwa alikuwa...
Wakenya wengi kwenye mitandao ya kijamii wamebaki vinywa wazi baada ya video kuvuja ikionesha jinsi DJ BROWNSKIN alimrekodi mkewe akijitoa uhai.
Marehemu Sharon Njeri Mwangi anasikika akisema...
Hata kama wataniua, usiwaache wakaliua jina langu” – Dedan Kimathi
Na Ahmed Rajab
WAINGEREZA walipomtia kitanzi na kumnyonga Dedan Kimathi, mimi nilikuwa mdogo — sikuwa nimebalehe kimaumbile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.