Msichana kuwapa Ukimwi watu kwa makusudi

fired

Senior Member
Apr 4, 2021
151
310
essy.jpg
essy1.jpg
essy2.jpg
 
Ukiingiza upepo hapo umedanjii..
Ukisikia jambo kama hili tuliza akili wala usiingize wenge..ukienda kupima huna kitu.

Nilishapita na kitoto kizuri kumbe ni vile vya mama salma..aseee nilitulia zangu nikaja kupima km mara 9 hivi..hadi south africa nilipima - basi maisha yakaendelea na kuna jamaa ameoa kile kimanzi na wana watoto
 
Kumbe mwenye ukimwi mwenyewe yuko kenya uko sijui chuo cha TUM sasa tuko bongo kwahyo haututishi, tunakula tunavotaki

Kwanza huna ukimwi ww, ivi mwenye ukimwi unamjua ww

#EMBU TOA HIYO WANAUME TUICHANGAMKIE DUNIA YENYEWE FUPI HII
 
Mliosoma Cuba hadi hapa (kwenye para ya mwisho) mtakuwa mmeelewa!
Screenshot_2023_0712_105833.jpg
 
Back
Top Bottom