Idadi ya watumiaji wa bangi yaongezeka maradufu Kenya

Kenyan

JF-Expert Member
Jun 7, 2012
414
313
Tafiti mpya iliyofanywa na mamlaka ya kudhibiti matumizi ya dawa za kulevya NACADA imeonesha kuwa watumiaji wa bangi wameogezeka maradufu katika kipindi cha miaka 5.

Kwa mujibu NACADA, mtu mmoja katika kila watu 53 walio na umri wa kati ya 15 - 65 ni mraibu wa bangi.

Wanaume wanaongoza kwa utumiaji ikilinganishwa na wanawake, ambapo tafiti imeonesha kuwa mwanaume mmoja kati ya wanaume 26 anatumia bangi huku mwanamke mmoja kati ya 333 ni mraibu wa dawa hiyo ya kulevya.

Kaunti ya Nairobi inaongoza kwa idadi ya watumiaji ikufuatwa na kaunti zilizoko kanda ya Ziwa Victoria na Pwani.

===

The latest survey by the National Authority for the Campaign Against Alcohol and Drug Abuse (NACADA) has shown that the number of people consuming cannabis otherwise known as bhang has increased by 90% in the past five years.

The national survey on the “Status of Drugs and Substance Use (DSU) in Kenya, 2022” released on Monday has recorded that one in every 53 Kenyans aged 15 – 65 years, an approximate population of 518,807 people, are currently using the drug.

Of these, one in every 26 are males (475,770) and 1 in every 333 are females (43,037) are women.

The highest consumption of the drug was recorded in Nairobi with a percentage of 6.3% followed by Nyanza (2.4%) and Coast (1.9%).

On the list of the most abused drugs in the nation, cannabis ranked fourth below Khat, otherwise known as Miraa, Tobacco and Alcohol which topped the list.

Using the same age demographic of 15-65 years, about 3,199,119 people were found to be using alcohol with most of them hailing from Western Kenya.

Nairobi was found to have the highest prevalence of manufactured legal alcohol at 10.3% followed by Central at 10.0% and Eastern (8.4%).

The use of chang'aa and traditional liquor was highest in Western region and potable spirits in the Central region.

Tobacco users were about 2,305,929 nationwide with the majority residing in Central Kenya.

Miraa chewers were most in the Eastern region as 964,737 were recorded nationwide.

The survey was conducted in selected clusters spread across the nation, sampling Kenyans aged 15 to 65 years.

The Citizen
 
Back
Top Bottom