Kenya: Serikali yatakiwa kutangaza Saratani kama janga la Taifa

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,618
Katibu Mtendaji wa Umoja wa Walimu katika tawi la Nandi, Boniface Tenai ametoa wito kwa Serikali kutenga Rasilimali za kutosha kukabiliana Ugonjwa wa Saratani ambao umeshambulia idadi kuwa ya Watu nchini humo

Umoja huo umesema Ugonjwa wa Saratani umekuwa mzigo kwa Wananchi kutokana na gharama kubwa za Matibabu na kwamba familia nyingi zimekuwa Maskini baada ya kutumia mali zao zote kuhudumia Wagonjwa wao

Kila mwaka nchi hiyo inakadiriwa kuwa na visa vipya 39,000 vya Saratani na zaidi ya vifo 27,000 vitokanavyo na Ugonjwa huo, huku
Saratani zinazoongoza zikiwa ni za Matiti, Shingo ya Kizazi, tezi dume na Koo

70-80% ya kesi za Saratani nchini humo hugunduliwa katika hatua za mwisho Kutokana na Ukosefu wa ufahamu, Upungufu wa vifaa vya uchunguzi, Ukosefu wa vifaa vya matibabu na Gharama kubwa ya matibabu


.........


KNUT wants gov’t to declare cancer a national disaster
Citizen Reporter By Citizen Reporter Published on: September 07, 2023 08:39 (EAT)

The Kenya National Union of Teachers (KNUT) officials have asked the government to declare cancer a national disaster.

Speaking on Wednesday at the home of the union’s first vice national chairman, the late Stanley Mutai, the officials led by Nandi KNUT branch executive secretary Boniface Tenai said the government should set aside enough resources to fight the illness.

Tenai said many people in the country have been diagnosed with cancer and there was an urgent need for action on the disease.

He said when HIV/AIDS and COVID-19 struck the country, drugs and vaccines were immediately found and wondered why it had taken long before cancer medication was found.

He was flanked by his Bomet county counterpart Malel Langat who appealed to the National Assembly to come up with a Bill supporting the management of cancer.

Malel said the disease was too expensive to treat and that many families have been rendered poor after disposing of all their assets to gather for the medication of cancer patients.

Mutai succumbed to cancer while undergoing treatment at the Nairobi hospital on Sunday.

He will be buried at his Chepngobob home on the outskirts of Brooke trading centre on September 16.

Source: Citizen Digital
 
Back
Top Bottom