Rais wa Kenya William Ruto amesaini Mkataba wa Biashara Huria na Umoja wa Ulaya licha ya kwamba Mkataba huo ulikuwa unapingwa na Nchi Wanachama wa Umoja wa Afrika Mashariki Toka 2016.
========...
Jaokuwa Ni nchi ndogo yenye watumishi wengi kuliko Tanzania tuangalie tu jinsi Kenya inavyohudumia vizuri walimu wake kuliko Tanzania.
Kenya iko na watumishi milion 1 wa umma ukilinganisha na...
Huku Kenya iko watu wameweka tangazo jiji ya kwamba wana nyumba ya kukodisha. Niliona nyumba moja Kodi ilikuwa elfu kumi na saba. Lakini maeneo hayo nyumba ya bedroom mbili huwa na kodi ya kama...
Siku moja baada ya Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mawasiliano Kenya (CA) kutoa taarifa ya kumsimamisha Kazi Ezra Chiloba, imebainika sababu ni ubadhirifu wa Tsh. Bilioni 11.2, ambazo ni Fedha...
Rais William Ruto ametoa maagizo hayo na kueleza Serikali yake imeweka nia ya kutengeneza mazingira yenye Ushindani ikiwemo kuongeza ushawishi kwa Makampuni ya Teknolojia kwaajili ya kuwekeza...
The available slot for hosting the tournament isnt open before 2025,with proper supporting infrastructures EAC can bid as a block and host the tournment in 2025.
Cities like...
Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini Kenya amefutwa kazi baada ya kukatika kwa umeme na kuwaacha abiria wakiwa gizani kwa saa kadhaa katika Uwanja Mkuu wa Ndege wa Nairobi.
Alex Gitari...
Haya as if Kenya hakuna gangs, US funded and trained Kenyan troops zitatumwa Haiti eti kuzuia uhalifu, ikumbukwe tangia raisi wa watu wa Haiti auliwe Ikulu na so called gangs Haiti haijatulia na...
Nimekuwa nikisikia neno Nairobi kwenye movies and series nyingi sana za western, na nadhani pia na nyie mtakubaliana na mimi kuhusu hili.
Swali langu ni kwanini Nairobi mara nyingi na sio jiji...
Kampuni hizo ni pamoja na Mulla Pride Ltd, iliyopigwa faini ya Tsh. 50,404,970. Taasisi hii inamiliki 'App' za kutoa huduma za Mikopo za FairCash na KeCredit, imebainika kutumia Taarifa Binafsi za...
Kenya itaanza kujenga kinu cha nyuklia mnamo mwaka wa 2027.
Kinu cha nyuklia cha Megawati 1,000 ni sehemu ya mpango wa nchi kuhamia kwa nishati safi na kuongeza uzalishaji wa kawi.
Kaimu...
Mkazi mmoja wa jiji la Nairobi amejenga ukuta urefu wa ghorafa tano ili kulinda faragha ya makazi yake.
Hii ni baada ya ghorafa kujengwa jirani na nyumba yake. Huyu anahatarisha maisha yake -huu...
Ukraine kuanzisha kitovu cha nafaka katika bandari ya Mombasa ili kukabiliana na uhaba wa chakula Afrika Mashariki, asema Rais Ruto baada ya mazungumzo na Rais Zelensky.
Haya yametokea wakati...
Started under the Uhuru regime, the first phase of the envisioned Mombasa commuter rail is almost complete. The first phase is an MGR link from the SGR terminus into Mombasa CBD. The first phase...
"Ripoti kutoka Afisi ya Msimamizi wa Bajeti inaonyesha taswira yenye kiza kutokana na takwimu zinaonesha kuwa asilimia 83 kubwa ya mapato yote yaliyokusanywa na serikali yametumika kwa malipo ya...
Safaricom inafanya mashirikiano na kampuni ya Apple kuiunganisha M-Pesa na PayPal ili kuongeza wigo wa shughuli za M-Pesa kimataifa.
Ruto asema wana nia ya kuzitumia fursa zilizoletwa na kampuni...
Tukio hilo limetokea wakati waandishi wa habari wakirekodi tukio la wafanyakazi wa makaburi ya Langata kugoma wakilalamika kucheleweshewa mishahara yao, ambapo polisi waliwataka waandishi wa...
Gavana wa Mombasa Mh Nassir amesema hawako tayari kuona Bandari yao inabinafsishwa Kifala fala
Nasir amemtaka Rais Ruto akabinafsishe Shirika la Ndege Ili Midege iongezeke
Source: Mwanzo TV...
Ni Wakenya ambao wamesema Kenya anahitajika mtu kama Tundu Lisu ambaye hana maslahi binafsi kwenye mambo ya Biashara
Wamedai kampuni za Saudia na UAE walisaini Mkataba wa kusaidiana kuingia...