Hapo ndio Utajua kipawa ni zaidi ya hayo Makaratasi yenu.
Mtu hajasomea sheria Wala hajahitimu Uwakili.lakini amewezesha kushinda kesi 26 Kwa niaba ya wateja wake,unamkamata wa nini? Nani fake...
Habarini ndugu zanguni!
Nimearifiwa kuwa katika nchi za Afrika Mashariki, ni Kenya ndiyo inayoongoza kwa kufanya vizuri kwenye kilimo cha DRAGON na KIWI.
Ninakusudia kujihusisha na kilimo cha...
Referendum iandaliwe na serikali kivuli ya dubwana kubwa Tanganyika lililojificha nyuma ya muungano wa hovyo kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba ni wakati sasa ardhi na eneo lote la...
Ndugu zangu Watanzania,
Sasa nitaanza kueleweka naposema kila wakati humu jukwaani kuwa Rais samia anachapa kazi,anafanya kazi kwa ajili ya watanzania,anatubeba kisera katika kuhakikisha hatupati...
Baadhi ya maduka yameanza kukataa huduma ya malipo kwa njia ya simu ‘Lipa na Mpesa’ wakikwepa ada ya juu ya kuwezesha ununuzi.
Matangazo yamebandikwa madukani yakizuia Wateja kulipia huduma kwa...
The United States Embassy in Nairobi has issued a security alert over suspected terror attacks in Nairobi and other parts of the country.
In a statement on Friday, the Embassy urged its citizens...
12 October 2023
London, England
RAF jets intercept Kenya Airways flight diverted to Stansted Airport
https://m.youtube.com/watch?v=IUxvYYaUO6M
A large emergency response is underway at Stansted...
Rais wa Kenya William Ruto ameidhinisha Muswada wa Ubinafsishaji wa mwaka 2023 ambao sasa umekuwa Sheria ukilenga kuondoa urasimu katika Ubinafsishaji wa Mashirika ya Serikali yasiyo ya Kimkakati...
Mamlaka ya Taifa ya Uchukuzi na Usalama (NTSA) imechukua hatua hiyo dhdi ya kamouni ya 'Bolt' kutokana na madai ya Ukiukwaji wa Kanuni za Leseni, ikiwa ni pamoja na Malipo Yasiyostahili kwa...
Kwa mujibu wa Tume ya Maadili na Kupambana na Rushwa (EACC), maafisa waliokamatwa akiwemo Inspekta wa Polisi walikuwa wakiomba Rushwa kutoka kwa Madereva katika Barabara Kuu ya Thinka - Garissa...
Makamu wa Rais wa Kenya bwana Rigachi amewataka Wanandoa wa Nchi hiyo kuzaa Watoto walau wasiopungua 8 Kwa Kila familia ili kukuza uchumi wa Nchi yake.
Amesema yeye anajilaumu kuwa na Watoto 2...
Media za Kenya kwenye technology ya urushaji matangazo wako vizuri wametuacha mbali sana. Jamaa wako vizuri, presenters wako vizuri, na wanajua wanachorusha hewani.
Kwa mfano jana ilikuwa siku...
Mahakama moja ya Nairobi nchini Kenya imezuia kwa muda mpango wa serikali wa kutuma maafisa wa polisi nchini Haiti kujiunga na ujumbe unaoungwa mkono na Umoja wa Mataifa unaolenga kurejesha hali...
Rais wa kenya amewalaani vikali magaidi kutoka palestine yaliyoshambulia kwa kuvizia waisrael wasiokuwa na hatia
Alisema hayo walipokutana na Rais wa uganda Tata mseven
Mseven naye amewakaripia...
Akizungumza na Kituo cha Redio cha Inooro FM, Rigathi Gachagua amesema Rais William Ruto anatarajia kusafiri kwenda China kwaajili ya kuomba mkopo wa Tsh. Trilioni 2.5 kwaajili ya kukamilisha...
Wizara ya Elimu imefunga Shule ya Sekondari ya Wasichana ya St Theresa's Eregi baada ya wanafunzi kadhaa kulazwa hospitalini kutokana na ugonjwa wa kutatanisha.
Maafisa wa elimu katika Kaunti ya...
Wakulima wa Tanzania jiandaeni na mporomoko zaidi wa bei maana soko kubwa linalotegemewa la Kenya wameivisha mahindi ya kutosha na Sasa wamepiga marufuku kuingiza mahindi kutoka Nje
-.--
The...
Naona majirani wamesharuhusu Starlink, sasa EastAfrica wapo Rwanda na Kenya. Ni nini shida na serikali yetu kushindwa kuruhusu hili ukiachana na vigezo alivyotoa Waziri visivyo na mashiko?
---...
Katika hatua za kubana matumizi, Serikali ya Rais William Ruto imekusudia kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ambapo imesema haitalipia tena gharama za safari za nje ya Nchi za Maafisa wake kama...
Bunge la Kenya limetoa wito huo kwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidijitali likitaka Serikali kufunga shuguli zote za 'Worldcoin' kampuni inayojihusisha na biashara ya Sarafu Mtandao...