Marekani imesema inaitambua rasmi Kenya kama Mshirika wake wa karibu Kiusalama ambae sio mwanachama wa NATO Ili kukabiliana na Ushawishi wa Russia na China Barani Afrika na hususani Afrika...
Serikali ya Marekani yasema haijaidhinisha safari ya Anasa ya Rais Rutto nchini humo
Msemaji wa Marekani mh Andrew amesema " kwa kweli Marekani haijalipia ndege ya kukodi ya Rutto kwenda Marekani...
Kenya ikiwa inaongoza kwa kua na uhuru wa Kujieleza na maoni .Haya mambo huwezi kuyasikia nchi kama Rwanda hata kidogo!! Hata kwene social media raia wa rwanda hawawezi kumkosoa Godfather hata...
Bora tu imetokea kwa Mkenya! Ingelikuwa ni Mtanzania angekiona cha moto kwa mashambulizi ambayo angeyapata mitandaoni😄😄😄
Kiingereza si tatizo kwa wasomi wa Kenya, Rais Ruto akiwemo. Lakini awamu...
Nairobi, 23 May 2024: Amnesty International Kenya and ARTICLE 19 Eastern Africa express deep concern with Clause 63 of the Finance Bill (2024), which seeks to exempt the Kenya Revenue Authority...
WELCOME TO KENYA WHERE:-
1. Girls handbags carry everything necessary for sleepover except their fare back home
2. When you are served little chips in a restaurant, you drink their Tomato Sauce...
Rais Rutto amesema kwa sababu ni nadra sana viongozi wa Africa Mashariki kukutana na Rais wawapo Marekani basi Rais Biden aelewe kukutana kwao ni kwa manufaa ya Marekani na Africa Mashariki
Biden...
Wadau hamjamboni nyote?
Ndiyo ana miaka 90 sasa, Ngina Muhoho almaarufu Mama Ngina ni mke wa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Kenya Hayati Jommo Kenyatta & Mama wa Rais wa nne wa nchi hiyo Uhuru...
In the sunset years of Mzee Jomo Kenyatta’s presidency,James Erastus Mungai was the all-powerful Police Commandant in charge of the Rift Valley Province
Not only was he from the then president’s...
Kwa mujibu wa taarifa ya Madeni iliyopo katika tovuti ya Shirika la Fedha Duniani (IMF), imeonesha takriban nchi 47 kutoka Afrika zimeendelea kuwa na Madeni katika taasisi hiyo ya Fedha ambapo...
Rais Rutto amesema wamefanikiwa kuirejesha Uganda kwenye Bandari ya Mombasa baada ya mgogoro uliokuwepo kupatiwa ufumbuzi
Ruto amesema mgogoro huo ulisababisha Uganda ifikirie kutumia Bandari za...
Binti ya Hayati Rais John Pombe Magufuli, Jessica Magufuli, akiwa ni mwenye furaha baada ya kupanda matatu yenye graffiti za sura ya marehemu babake Jijini Nairobi.
Matatu ni neno la mtaa lenye...
Naibu Rais wa Kenya Bwana Gachagua amekosolewa Vikali Kwa kuanzisha na kirahisi kuipigia chapuo sera ya ubaguzi wa kiuchumi aliyooiita Kwa jina la One Man,One Vote,One Shiling.
Wabunge kutoka...
Kamati ya Bunge la Marekani🇺🇲 kuhusu Mambo ya Nje imemuandikia barua Spika wa Bunge kuomba ridhaa yake ili Rais William Ruto ahutubie kikao cha pamoja cha Bunge hilo
Iwapo Mheshimiwa Spika...
Wakati Kenya imeendelea kutawala shehena za bandari katika ukanda wa Afrika Mashariki, kuna tishio kubwa kutoka Tanzania kutokana na Bandari yake ya Dar es Salaam kuongeza mizigo mara dufu katika...
Hapa naomba ndugu Zangu Malaria 2 FaizaFoxy na The Big Show mnipe Elimu kidogo kwanini Waislam hawavalishwi Nguo na Viatu wanapozikwa
Ni hilo tu maana mazishi ya General Ogolla yamenifunza kitu...
Mamlaka inayosimamia Huduma ya Umeme Nchini Kenya (The Kenya Power and Lighting Company PLC-Kenya Power) imetangaza tatizo la kukosekana kwa umeme katika maeneo mengi ya Nchi hiyo ambalo...
Ingekuwa ni Tanzania haki ya Mungu huyu Dereva wa hili Lori ningegawana nae Majengo ya Serikali kwani ni mpumbavu sijapata kuona.
Yaani anaona kabisa mto umefurika na watu wa pande zote mbili...