Habari wa ndugu wa tanzania??
Nimepitia site mbalimbali humu,ila site iliyonifanya kuwaza sana ni hii ya UJENZI,nimepitia nyuzi nyingi sana humu,yani kila niliyosoma imenifanya moyo kuuma kwa...
Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) inatarajia kusaini mikataba 15 kwa pamoja ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami pamoja na Daraja zenye thamani ya shilingi Trilioni...
JIMBO LA KITETO: TAARIFA MAALUM KWA WANANCHI KUHUSU USAJILI WA SHULE MPYA- USAJILI WA SHULE MPYA 12 ZA MSINGI
Ndugu wananchi wenzangu mnatakumbuka kuwa kwa miaka miwili na nusu ya Serikali ya...
Nchi zetu za Afrika zimejaliwa ardhi kubwa na ujenzi wetu wengi ni ujenzi usiopimwa.
Mijjni uhaba wa ardhi umeshaonekana na kuna watu wanaoweza kubuni makazi ya watu wengi katika eneo dogo...
Kuna yeyote humu alie na experience na kusafirisha milango na madirisha ya mninga kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine? Je process ziko vipi na gharama zikoje?
AIRPOT YA IRINGA KUFUNGUA UTALII KUSINI, UJENZI WAFIKIA 82% - NAIBU WAZIRI KIHENZILE
Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Mwakiposa Kihenzile amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
UJENZI WA SEKONDARI MPYA UNAENDELEA MUSOMA VIJIJINI: KISIWA CHA RUKUBA KIMEANZA UJENZI WA SEKONDARI YAKE
Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21 zenye Vijiji 68 na Vitongoji 374.
Jimbo hili lina...
Nina kiwanja changu pahala off course ni kidogo (50 x 47 Futi) sasa nilitaka kuweka ujenzi pale! Nimemtuma fundi kufanya setting ya msingi na vipimo vya vyumba kulingana na nilivyotaka majibu...
Baada tu ya kuunganisha bomba kwenda kwenye Septic tank ,choo kilianza kurudisha harufu ndani, ikinyesha mvua ndio kabisa kinazidi . Fundi aliyetengeneza hapatikan
Lakini vyoo vingine...
Wadau naomba kuuliza hii imekaaje maana kuna nyumba moja naishi lakini kuta zake ni baridi sanaa pamoja na sakafu ya chini (tiles) baridi vilevile kiasi kwamba ktk hicho chumba lazima nivae soksi...
Malazi haya huwa yanalipiwa kwa siku, kitanda kinaweza kuwa €20 kwa siku. Huwasaidia sana wasafiri vijana hasa wanafunzi. Kuna huduma ya maliwato, unaoga vizuri na kupata usingizi wako mnono...
Maeneo gani mazuri yenye hewa safi kununua kiwanja Vilivyopimwa kwa ajili ya makazi kwa budget ya 20M??
Maeneo ya karibu na urahisi kufikika gongo la mboto..
Wakuu! Nimewakusanya hapa nataka tushauriane kuhusu bati bora za kuezeka nyumba.
Zipo nyuzi nyingi humu nimepitia kuhusu hii mada.
Nafahamu wengi wanashauri kuezeka kwa bati za ALAF.
Lakini...
Habari,
Nimempata chumba nataka nipake rangi, niweke kapeti na mapambo, naomba ushauri nipake rangi gani?
Na kapeti inayofata pamoja na mapambo kwa chumba Cha mwanaume?
Asante
Hivi paradiso italetwa? Au tutaileteleza wenyewe hapa duniani?
Watu wenye kusali hutusisitizia kila mara kwamba paradiso ni mahala pazuri saana 😍
Ni mahali ambapo kuna miti na maua mazuri ya...
Mimi ni mgeni jiji la Dar es salaam nimetokea Mwanza nimehamia Dar es salaam kikazi sasa nimefika kwa rafiki yangu Tabata Chang'ombe na nimetokewa kuvutiwa sana na mazingira ya hapa ningependa...
Ukijaaliwa kupata uwezo jenga kwa kutumia tofali za simenti hizi mnaita blocks maana zinadumu dahari.
Mzee wangu alijenga miaka hiyo kwa kutumia hizi tofali za blocks saivi kashastaafu anapeta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.