Hii kitu kwa saivi imefanywa kama ni kitu ya lazima kwenye ujenzi wa nyumba.
Mi sioni kama ni kitu chenye umuhimu kiviile, zaidi naona ni kuongezeana gharama tu bila sababu ya msingi.
Nipe...
Mimi ni fundi ujenzi (majengo) katika wilaya X ninajenga na kufanya kazi za serikali kwa njia ya force account lakini ikifika swala la malipo ninazungushwa sana mara taarifa zinakuja eti...
(fungu la 24 - 30)
UTANGULIZI
Mwongozo huu wa umiliki kwa ajili ya raia wa Tanzania unatokana na fungu la 24 - 30 la sheria ya ardhi Na. 4 ya mwaka 1999. Aidha, ardhi inayoombewa milki...
Katika muktadha wa ardhi na mali isiyohamishika, hati ya umiliki wa ardhi inaweza batilishwa au kubadilishwa mwenendo kwa mujibu wa sheria na mazingira fulani.
Hata hivyo, mchakato huu unaweza...
Kuna hizi nyumba wazungu/Wamarekani wanazichamba balaa. Utacheka wakianza kuzichamba. Wanaziita Mcmansions(Poor man mansions).
Ni zile nyumba kubwa, zina manjonjo mengi na zaidi paa linachukuwa...
Position: HR Manager
location : Sapphire Complex, Sunbank mabati, Nyerere Road
reports to: General Manager
Role Purpose
The position holder will be responsible to support the Human Resource...
NAIBU Waziri anayeshughulikia Afya Ofisi ya Rais-TAMISEMI , Mhe Dkt. Festo Dugange amesema Serikali katika mwaka wa fedha wa 2023/24 imetenga kiasi cha Sh Milioni 900 kwa ajili ya ukarabati wa...
Habarini wapendwa.
Nina kiwanja maeneo ya vikawe wilaya ya kibaha chenye ukubwa wa sqm 686 na ramani ya jengo nishachorewa na architecture yenye chumba master, sebule, choo public na baraza ya...
Habari wana JF
Nimepaka oil ya petrol ambayo sio nyeusi sana kwenye kenchi zangu, ila nimekuwa na wasiwasi kama zitazilinda kenchi dhidi ya mchwa au inatakiwa oil yenye weusi mwingi kama ya...
Salam, wakuu nimeweka picha ya Ramani ya nyumba ninayotaka kujenga mwakani baada msimu wa masika kuisha.
Ningependa kupewa ufafanuzi juu ya gharama zote za ujenzi hadi furniture mpaka kukamilika...
"Wizara ya Maji inatarajia kutekeleza mradi mkubwa wa Maji Ngara Mjini kwa gharama ya Shilingi Bilioni 41. Usanifu wa mradi umekamilika na unatarajia kuhudumia wananchi 170,678 waishio katika Kata...
Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga, Mhe. Dkt. Emmanuel Cherehani amesema kuwa jumla ya Shilingi Bilioni 1.8 za mradi wa BOOST zimetumika kukamilisha ujenzi madarasa 25 na Shule mpya 2...
Nitangulize shukrani zangu na heri ya Christmas na mwaka mpya kwa wanajukwaa.
Kwa kawaida watz wengi tumekua tukijenga au kuplan kujenga bila kuwa na plan ya management ya majitaka.Kiukweli...
Habari wa ndugu wa tanzania??
Nimepitia site mbalimbali humu,ila site iliyonifanya kuwaza sana ni hii ya UJENZI,nimepitia nyuzi nyingi sana humu,yani kila niliyosoma imenifanya moyo kuuma kwa...
Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) inatarajia kusaini mikataba 15 kwa pamoja ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami pamoja na Daraja zenye thamani ya shilingi Trilioni...
JIMBO LA KITETO: TAARIFA MAALUM KWA WANANCHI KUHUSU USAJILI WA SHULE MPYA- USAJILI WA SHULE MPYA 12 ZA MSINGI
Ndugu wananchi wenzangu mnatakumbuka kuwa kwa miaka miwili na nusu ya Serikali ya...
Nchi zetu za Afrika zimejaliwa ardhi kubwa na ujenzi wetu wengi ni ujenzi usiopimwa.
Mijjni uhaba wa ardhi umeshaonekana na kuna watu wanaoweza kubuni makazi ya watu wengi katika eneo dogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.