Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

Napenda wataalamu watupe ushauri ili kuondoa woga wa watu kuhusu ujenzi wa nyumba ya ghorofa Moja,gharama kubwa ziko hatua gani,mahitaji muhimu ni nini,na kuna vibali aina gani vinatakiwa, Na...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Mimi nina mpango wa kuanzisha ujenzi wa nyumba yenye walau gorofa tatu ya kuishi naomba msaada wa taratibu za kufuata kabla ya kuanza ujenzi
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari, naomba kujua taratibu za ujenzi wa nyumba mjini kwa sasa upoje ? Ikiwa ni pamoja na kujua taratibu za vibali vya ujenzi. Msaada wadau!!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wadau wenzangu...kwa wale wazoefu na wanaojuwa naomba kujuzwa juu ya mtaji kias gani cha chini mtu aweze kufungua super market au hard ware..inahitajika shiling ngap? .je mtaji...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kwa ufupi Uchunguzi uliofanywa na Mwananchi pamoja na wananchi waliohojiwa umeonyesha kupanda kwa bei ya saruji na vifaa vingine vya ujenzi kama mabati na nondo, hali inayoongeza gharama za...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Nimesikitishwa sana na Bei vifaa vya Ujenzi Kupanda maradufu Cement iliyokuwa Elfu 16,000 mwezi Jana Sasa ni 18,000/= Nondo iliyokuwa 13,000/= sasa ni 17,000/= Bati iliyokuwa 16,000/=sasa ni...
1 Reactions
40 Replies
11K Views
Kupitia mtandao wa twitter kuna madai ya kupanda kwa vifaa vya ujenzi: Cement,nondo,bati, n.k. Madai haya yanatokana na swali alilouliza Zitto juu ya bei hizo kupanda ambapo baadhi ya watu...
1 Reactions
36 Replies
7K Views
Bei ya cement tulinunua kwa Tsh 10000/=@bags hadi dec mwaka 2017, nashitushwa sahivi imefikia 13500/= hadi 14000/= KURIKONI? Bei ya nondo size 12mm tulinunua Kwa 13000/Pc 40ft sahivi imefikia...
9 Reactions
69 Replies
8K Views
Habari za jioni wakuu , Nafikilia kufany biashara ya kuuza vifaa vya ujenzi (Hardware),Je nahitajika kuwa na mtaji wa kuanzia shilingi ngapi ili niweze kuanzisha hii biashara?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari za sasa hivi, Nauliza ukitaka kujenga nyumba kubwa ya vyumba kama 6 ila vitatu ni masters, na dining na public toilet, jiko pamoja na sitting room. Pia nje kuwe na sehemu ya magari. Kwa...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Wanajamvini... nahitaji kupata building material za finishing kama mabomba na vifaa vya umeme. Mafundi wote wamenipa list ya vifaa.. naomba mwenye contacts za hardware wanaouza vitu bei nzuri...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dr Ashatu Kijaji amesema Serikali haiwezi kuondoa kodi ya VAT kwenye vifaa vya ujenzi kwa sababu ni vigumu kujua nani anajenga kibiashara na nani anajenga makazi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kutokana na uchumi wa wananchi kubana, biashara ya vifaa vya ujenzi wa nyumba imepungua huku vile vya ukandarasi wa miradi mikubwa ikiongezeka zaidi ya mara dufu. Hayo yamebainishwa na meneja...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani ninahitaji mkopo usiokuwa na ubabaishaji Kwa ajili ya ukarabati wa nyumba yangu,ni mfanyakaz wa sekta za kitalii Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ili uwe na nyumba nzuri unatakiwa kuwa na ramani iliyodesginiwa vizuri na ya tofauti na kipekee na inabidi isimamiwe vizuri wakati wa ujenzi kwa ushauri wa maswala ya ujenzi na ramani za nyumba...
0 Reactions
27 Replies
26K Views
  • Redirect
Habari JF members, Naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kuwa wakala wa uuzaji wa vifaa vya ujenzi na vinginevyo vinavyohusiana na ujenzi. Hapa namaanisha mfano: cement, tanks, mabati, sink...
0 Reactions
Replies
Views
Habari wakuu naombeni msaada ninataka kufungua duka la vifaa vya ujenzi(HARDWARE) ila tatizio ni kwamba mimi siyo mzoefu wa hii biashara naombeni list ya vitu muhimu vinavyotakiwa viwepo na sehemu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maabara iwe na uwezo wa kupima mchanyiko wa Udongo wenye sifa zifuatazo kama inavyoonekana kwenye attachment. Udongo huu ni kwaajili ya kutengenezea Tofali za kuchoma.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Serikali imetoa miezi mitatu kwa shirika la nyumba la taifa NHC kuwa limekamalisha miradi yote ya ujenzi wa nyumba zinazojengwa kwa ajili ya kuuzwa kwa wananchi kwa gharama nafuu hatua ambayo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kutoka kushoto ni Ibrahim Samuel- Meneja Uhusiano- Mikopo ya Nyumba, Wasia Mushi- Naibu Mkurugenzi Benki ya Afrika Tanzania (BOA), na Muganyizi Bisheko- Meneja Masoko Utafiti na Maendeleo...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Back
Top Bottom