Habari wadau muhimu wa ujenzi.
Niko kwenye hatua za kupaua baada ya kupambana na boma. Sasa ombi langu ni kujua idadi ya mbao zitakazotumika kwenye mjengo wangu.
Nyumba ina urefu wa futi 37 na...
Habarini wadau.
Nimemaliza kuezeka ila kwa hizi mvua zikinyesha sana na ikiwa na upepo, kuna dalili ya matone ya mvua /maji naona yanadondoka kwa ndani. Japo mvua ikiwa sio ya upepo hio kitu...
- Habari wajenzi
Mwaka huu nimefeli kuanza ujenz(na kutizma lengo) lakn panapomajaliw mwakan Natumain jambo langu hii nitalifaniksha
Ujenz ni :- Nyumba ya vyuma 3 + /master bedroom na single...
SERIKALI KUFUGUA WILAYA YA RUNGWE KWA BARABARA ZA LAMI
Serikali imesema inaenda kumaliza kero ya wananchi wa wilaya ya Rungwe kwa kuikamilisha ujenzi wa barabara ya Katumba-Mbambo-Tukuyu (km...
Salamu, wapendwa,
Miaka imekuwa mingi sana sasa nimekuwa nikishi kwenye nyumba ya banda umiza sasa wakati wa kujenga nyumba angalau ya kueleweka umewadia.
Najua humu kuna mafundi professional na...
Serikali Kutumia Bilioni 900 Kwaajili ya Ujenzi, Uboreshaji na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafiri na Usafirishaji kwenye Bandari za Maziwa Nchini.
Serikali ya awamu ya sita ya Jamhuri ya...
Waziri Tabia Mwita Aipongeza Tanzania Youth Icon (TAYI)
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita ameupongeza Uongozi wa taasisi ya Tanzania Youth Icon (TAYI) kwa...
Habari wa ndugu wa jamii forums , nipo hapa kuomba kwa mwenye mabati used yaliyo na hali nzuri awasiliane na mimi
Mawasiliano. 0672701329
Nahitaji pc 50 hivi
Asante...
Wakuu habari za wakati huu.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Baada ya Kupambana na Mungu kuniwezesha kupata kiwanja. Natamani sana kwa mwaka ujao Mungu anisaidie nianze ujenzi.
Ila...
KAMATI ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Simiyu imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya Maji inayofanywa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mkoani humo ikiwa...
SERIKALI YAJENGA DARAJA KUUNGANISHA VIJIJI VINNE MEATU, SIMIYU
Serikali Kupitia Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini (TARURA) imetoa kiasi cha shilingi Mil. 197 kwa ajili ya kujenga daraja la...
MBUNGE GEOFFREY MWAMBE AZINDUA ZAHANATI MATAWALE
• Imegharimu Milioni 200
• Wananchi wampongeza
Mbunge wa Jimbo la Masasi Mjini Mheshimiwa Geoffrey Mwambe, leo amezindua zahanati mpya katika...
Wakuu,
Naomba msaada, nafanyaje ili kuzuia hii hali ya nyasi kuota kwenye maungio ya paving blocks ambazo zimekwishawekwa?
Kadri mvua zinavyonyesha majani yanastawi sana kwenye maungio inakuwa...
Naomba nipate uzoefu. Ni mipira ipi bora kwa kazi za kumuagilia nyumba wakati wa ujenzi kwa kuzingatia vigezo vufuatavyo:
I) Kampuni inayotengeneza (aina ya mipira)
ii) Milimita za Mpira...
Huu ni ukweli mchungu,kama bado hujajichanga na kuweza kununua kiwanja kilicho sehemu salama ni bora uendelee kutafuta hela ya kuongezea ili kupata kiwanja eneo salama,watu wengi wameingia hasara...
Serikali kupitia ofisi ya Rais TAMISEMI imeahidi kutoa kiasi cha shilingi milioni 20 ili kuimarisha kivuko cha cha Magole/Mwanagati kilichopo katika kata ya Mzinga Halmashauri ya Ilala mkoani Dar...
Waziri wa ujenzi, Innocent Bashungwa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), kuhakikisha kuwa Wakandarasi wasumbufu na wababaishaji hawapewi kazi za ujenzi wa barabara...
Ningependa kujua makadirio ya bati ya nyumba ya aina hii:
Nyumba ina:
Upana wa 15.5m
Urefu wa 10m
Bati za mita tatu
Style ya bati sio za kwenda juu kama za siku hizi. Mfano wa urefu na style ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.