Unapojenga msingi wa nyumba ya kuishi tumia resho 1:3
Yaani cement mfuko 1 tumia mchanga ndoo 6 kubwa
cement tumia 42 n au 42 r sehemu zenye maji maji
Napatikana kwa namba 0743 257 669
Kwa kazi...
Nilikua na 12M, nilikuwa natafuta kiwanja, nimetafuta sana hadi nilipopata huko mkoa wa pwani sehemu inaitwa kibaha kwa mfipa.
Nikapata kiwanja cha kwanza kina sq merter za mramba 513 nikalipia...
Kwa kazi za kujenga nyumba za kisasa nitafute 0743 257 669
napatikana Dsm.
Nyumba ina vyumba 3 vya kulala
1 master
2 self
seble
jiko
dinning
jiko
store
prayer room
Hapa wazee napigwa? Nyumba ina vyumba vitatu na iko mstatili ameniambia milioni moja na laki mbili, vifaa vyote ni vyangu maeneo ya Dar iko sawa? Na mwingine kaniambia laki nane na nusu lakini...
hii ramani nimeipenda ila inamaboresho kidogo nilihitaji mtaalam aiweke kwenye vipimo pamoja na 3d ikiwa bila BOQ. vitu vya kurekebisha ni hapo kwenye kuiondoa dinning ibaki vyumba vitatu...
Faida za Kufanya Curing kwenye Ujenzi (Hasa Saruji/Concrete)
Curing ni mchakato wa kudumisha unyevu, joto na muda unaofaa ili saruji iweze kuwa na nguvu kamili baada ya kumwaga. Ni hatua muhimu...
Wataalam wa kutengeneza garden na kupanda bustani za maua kwenye makazi, Ofisi na maeneo yanayozunguka makazi ya watu. Karibuni Sana Kwa huduma Bora. Piga Namba: 0714693107
Habari ya majukumu ndugu zangu mafundi tiles.
Eti njia sahihi ya kubandika hizo tiles hapo pichani zinate vizuri hata watoto wakizichezea zisitoke ni ipi kati ya kutumia gundi yake au kuzibandika...
Mafundi, wekeni bei rafiki ya kujenga dari ya geti 'canopy' yenye muonekano huu. Ikiwa lango la geti litakuwa na upana wa mita nne, na dari la zege (slab) la juu lisipinde, linyooke kama rula.
HELLO WAJENZI, WAJENGAJI NA WADAU
Nimekuja hapa kupata uelewa wa nini mtu huyu afanye yupo Iringa manispaa.
1. Ukuta kwa ndani unamung'unyuka na unatoa mchanga nini nifanye?
2. Kati ya msingi na...
LUXURY BEACHFRONT INVESTMENT – MANGO TREE RESIDENCE | MSASANI BEACH, DAR ES SALAAM
Where Luxury Meets Smart Investment.
Mango Tree Residence is a premium beachfront development at Msasani Beach...
Uongozi wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) umetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mdau wa JamiiForums.com aliyeandika Ujenzi wa Mwendokasi Mwenge -Tegeta utakamilika lini? Ni kweli Mkandarasi ana...