Nafikiri kijana anayejenga katika usawa huu anatakiwa apewe heshima yake

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
Either male au female ambae anajenga au amemaliza kujenga kwa nyakati hizi, hongera sana.

Nimeamka leo asubuhi napiga mahesabu ya costs za ujenzi.

Yani kwa hesabu ya haraka nyumba ya vyumba viwili yenye fence, vinyl, weather guard, g.boards, msingi wa mawe, kitchen set up, garden set up, paving blocks, etc na finishing isio yenye makoro makoro mengi ina sum up hadi milioni 50.

Na hapo tu ni nyumba zenye msingi wa mawe.
Na hapo tu ni nyumba yenye finishing mtanzania wa kawaida

Almost 7 years ago milioni 50 ingekupa nyumba ya vyumba vinne au vitatu kwa finishing ya mtanzania wa kawaida iliyochangamka kidogo.

■Cement imepanda bei
■Metal sheet, nondo na chuma zimepanda
■Mafundi wazuri bei zao zimechangamka
■Viwanja ndio usiseme
■Aluminium zimepanda bei
■ETC

NOTE: GHARAMA ZA UJENZI ZINA VARY MAHALI NA MAHALI.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom