Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Hoja imenyooka, haina kipengele. Huku mikoani, hali ya hewa baridi kuanzia Aprili hadi August. Naweza kujenga banda la kuku la 10m by 20m, kwa bajet ya sh ngapi?
0 Reactions
4 Replies
186 Views
Gas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku." Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme? Utamsikia Mtanzania anakwambia...
74 Reactions
348 Replies
18K Views
🏑 JENGA KWA TOFALI ZA INTERLOCKING – IMARA, ZA KISASA NA ZENYE GHARAMA NAFUU! 🏑 Tunauza na kujenga kwa kutumia Tofali za Interlocking zenye ubora wa hali ya juu. πŸ’° Bei zetu . πŸ“Dar es Salaam –...
1 Reactions
7 Replies
260 Views
Nimeona haya mashimo ya Choo mtandaoni je Ubora Wake ni Mzuri tusije Kujichanganya tukahama Kwenye Uchumbaji wa Mashimo marefu tukajuta Baadae: Sifa zake wanasema. 1. Hayajai kamwe 2. Hanachukua...
6 Reactions
57 Replies
6K Views
Kwa mujibu wa Sheria ya Upimaji na Ramani Sura Na. 324 ya Mwaka 1957 na kama ilivyorekebishwa Mwaka 1997, ni kosa la jinai kwa kuharibu au kusogeza alama za mipaka. Chini ya Sheria hii Vifungu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwema Wakuu, Ujenzi umekua gharama sana sababu ya kuongezeka kwa bei za bidhaa kunakoendana na ongezeko la bidhaa zingine zisizo za ujenzi pia. Kwa aliejenga miaka 10 nyuma gharama hizo hizo...
11 Reactions
171 Replies
27K Views
Nguzo za madaraja ya baharini hujengwa kwa teknolojia maalumu ili ziweze kustahimili maji, mawimbi, mikondo ya bahari, na uzito wa daraja. Kwa ujumla, hatua zake ni hizi: Uchunguzi wa eneo...
0 Reactions
1 Replies
197 Views
Habari wakuu, Naomba msaada wa kujuzwa makadirio ya gharama ya kufanya wiring kwa nyumba ya vyumba 4 (vyumba 4, sebure, dining, stoo na jiko), pamoja na vifaa vinavyohitajika. Natanguliza...
6 Reactions
139 Replies
27K Views
  • Redirect
🏑 JENGA KWA TOFALI ZA INTERLOCKING – IMARA, ZA KISASA NA ZENYE GHARAMA NAFUU! 🏑 Tunauza na kujenga kwa kutumia Tofali za Interlocking zenye ubora wa hali ya juu. πŸ’° Bei zetu . πŸ“Dar es Salaam –...
1 Reactions
– Replies
– Views
Huduma ya kuweka usalama wa Afya na Ubora imara wa Bustani yako, inapatikana kwangu. Nipigie: 0714693107
0 Reactions
0 Replies
83 Views
Nilikua kwenye nyumba ya kupanga, nzuri tu. Tatizo mwenye nyumba akapandisha bei kwa asilimia zaidi ya 25, bila taarifa mapema. Nikaona sio shida, nikahama mkataba ulivyoisha. Sasa katika...
99 Reactions
225 Replies
16K Views
guest-1788672427
Tuseme mtu anataka kununua kiwanja Lakini hajui achague viwanja vilivyopo kati ya Bagamoyo Road vs Morogoro Road, utamwambia aende wapi? Kibaha au Bagamoyo? Ni sehemu gani itakuwa na thamani na...
7 Reactions
48 Replies
1K Views
Kitendo cha kukopa kiwanja ni ishara tosha kwamba huna hela tafuta hela
7 Reactions
28 Replies
527 Views
Nahitaji haya mabati kwa ajili ya kuextend chumba cha ofisi nje ya jengo kubwa. Au kama kuna mtu anajua material ambazo ni za uzito mwepezi na hazipenyezi maji wala kuoza anisaidie.
0 Reactions
2 Replies
203 Views
Nipo Dar es salaam, nahitaji hizi materials.
0 Reactions
5 Replies
159 Views
Unapojenga msingi wa nyumba ya kuishi tumia resho 1:3 Yaani cement mfuko 1 tumia mchanga ndoo 6 kubwa cement tumia 42 n au 42 r sehemu zenye maji maji Napatikana kwa namba 0743 257 669 Kwa kazi...
2 Reactions
13 Replies
434 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…