Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

🏠 UNAJENGA? USIANZE KUJENGA KWA KUBAHATISHA! Kuanzia sasa nimeanzisha UJENZI NA RAMANI — WhatsApp Membership, kwa mtu yeyote anayejenga au anayepanga kujenga nyumba yake. 💰 Tsh 2,000 TU KWA...
0 Reactions
3 Replies
177 Views
Habari wadau Nataka kuweka tank juu la 3000 lita liingize maji ndani sababu maji ys dawasa hayaeleweki yaani kutoka siku tatu mfululizo ni bahati kwahyo ikitokea hakuna ni mwendo wa kutoka na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
1. Mlango wa mbele ni mkubwa 2. Sipendi kuweka mlango wa mbao halafu kwa nje niweke grill naona kama ni uchafu, halafu unauondolea thamani mlango wa mbao, ambao ni lazima uwe mkali 3. Sometimes...
10 Reactions
82 Replies
2K Views
1. Huyu "Ëngineer" wa instagram anafaa kusaidiwa kitaalamu ili ajisajili ERB na kampuni yake isajiliwe BRELA, TRA, OSHA, NEMC ili apate kazi kubwa zaidi. 2. ukimsikiliza vizuri, anaonekana mjuzi...
9 Reactions
86 Replies
6K Views
Kwanini nyumba za kisasa uwa haziwekwi geti (grill) nazungumzia kwenye mlango wa kuingia sebuleni na mlango wa nyuma fensi inakuwepo na geti moja au mbili Lakini kwenye mlango ya kuingia kwenye...
1 Reactions
19 Replies
470 Views
Habari ya sahivi, Natafuta fundi wa kufitisha milango ya mbao,milango tayari ninayo ,iko miwili. Site iko kigamboni. Naombeni namba ya mtaalamu wa kazi. Sio dalali.
1 Reactions
1 Replies
70 Views
Kwema wakuu? Ninaishi kwenye nyumba ya chini ya zamani kidogo. Sababu ya muda wa nyumba hii basi bati zake zimeanza kuvuja sababu ya kutu na hata plasta imechoka baadhi ya sehemu. Sasa niliwaza...
6 Reactions
72 Replies
2K Views
Wakuu Nauliza tu maana juzi nilikuwa napita maeneo fulani ya Goba Tegeta A aisee kuna mitaa imepangika na kuna utulivu wa hali yaa juu sana Yaani mtaa imepigwa pasi vizuri bila nyumba kukabana...
3 Reactions
24 Replies
732 Views
  • Redirect
Kwetu ni Kazi na ubunifu. Tunajali mazingira yako, maana mazingira yako ni Afya yako. Hata CAPET TUNABANDIKA KAMA UNATAKA KUPUNGUZA JOTO LA PAVING NYUMBANI KWAKO.
0 Reactions
– Replies
– Views
MACDEGAMO Company Limited ni kampuni inayobobea katika matengenezo ya majengo, usafi wa mazingira, mapambo ya nyumba, landscaping na house molding. Tunatoa huduma bora, za haraka na zenye viwango...
0 Reactions
2 Replies
92 Views
Tunajali, Tunaboresha, Tunapendezesha, Tunayafanya kuwa Afya kwako MAZINGIRA YAKO.
1 Reactions
2 Replies
113 Views
MACDEGAMO Company Limited ni kampuni inayobobea katika matengenezo ya majengo, usafi wa mazingira, mapambo ya nyumba, landscaping na house molding. Tunatoa huduma bora, za haraka na zenye viwango...
0 Reactions
0 Replies
42 Views
Msanii wa muziki kutoka Tanzania anaye ghani mashairi yake kwa lugha ya kiingereza pia ni fundi ujenzi wa majengo na mbunifu wa kutengeneza vifaa mbalimbali vya ujenzi, hujishughulisha na shughuli...
1 Reactions
5 Replies
130 Views
guest-1788672427
Before sijaenda kuilipia niambieni mapungufu yake ? Ili yarekebishwe
1 Reactions
13 Replies
590 Views
MACDEGAMO Company Limited is a professional company that provides building maintenance services, environmental sanitation, home decoration, planting and landscaping, as well as house molding. We...
0 Reactions
8 Replies
251 Views
Habari zenu wakuu Naomba msaada wa kupata roughly mchanganuo wa kujenga fremu tatu za biashara, ukubwa wa 2.5m x 2.5, Kuanzia msingi mpaka juu. Mfano wa fremu ni hizi chini hapa. Eno lipo Dar...
7 Reactions
13 Replies
2K Views
VISION (Dira) "Kuwa kampuni inayoongoza Tanzania katika huduma za matengenezo ya majengo, usafi, na utunzaji wa mazingira kwa kutoa huduma zenye ubora wa hali ya juu, ubunifu, na uaminifu unaozidi...
0 Reactions
0 Replies
48 Views
Ushauri wa kujenga nyumba eneo lenye asili ya maji / maji mengi chini ya ardhi Kujenga kwenye eneo la maji, mito, mabwawa, au sehemu yenye maji mengi chini kunahitaji tahadhari zaidi. Hii ndio...
2 Reactions
2 Replies
266 Views
🏠 UNA MILIONI 1 KWA MWEZI? UNAWEZA KUJENGA NYUMBA YA NDOTO YAKO NDANI YA MIAKA 2! Mtu mwenye kipato cha TSh 1,000,000 kwa mwezi, hana akiba benki wala kipato cha ziada — anawezaje kujenga nyumba...
1 Reactions
3 Replies
387 Views
Mimi nimeoa miaka 6 iliyopita tuna mtoto mmoja na tunaishi nyumba ya kupanga lakini mke wangu anawasifu Sana wanaume waliojenga nyumba zao. Wanajukwaa, mliwezaje kujenga kwa biashara ndogo ndogo...
17 Reactions
54 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…