Macdegamo wataalamu wa mazingira na Bustani

Macdegamo wataalamu wa mazingira na Bustani

Pedeshee212

Member
Joined
Apr 2, 2024
Posts
67
Reaction score
57
MACDEGAMO Company Limited ni kampuni inayobobea katika matengenezo ya majengo, usafi wa mazingira, mapambo ya nyumba, landscaping na house molding. Tunatoa huduma bora, za haraka na zenye viwango vya kitaalamu ili kuboresha mwonekano, usalama na thamani ya majengo na mazingira ya wateja wetu. Tunajenga ubora, tunatunza mazingira yako.
VISION (Dira)
"Kuwa kampuni inayoongoza Tanzania katika huduma za matengenezo ya majengo, usafi, na utunzaji wa mazingira kwa kutoa huduma zenye ubora wa hali ya juu, ubunifu, na uaminifu unaozidi matarajio ya wateja."

MISSION (Dhima)
"Kutoa huduma za kitaalamu za matengenezo ya majengo, usafi wa mazingira, mapambo ya nyumba, na utunzaji wa bustani kwa kutumia wafanyakazi wenye ujuzi, vifaa vya kisasa, na kuzingatia ubora, usalama, na kuridhika kwa wateja huku tukichangia mazingira safi na yenye kuvutia."
Tupigie kwa namba za simu : 0714693107

480307058_122095038956783942_2304660208780066291_n.jpg


480954762_122094776954783942_956081438320384995_n.jpg


524718631_122147047904783942_6512999322433853065_n.jpg
 
Kwetu ni Kazi na ubunifu. Tunajali mazingira yako, maana mazingira yako ni Afya yako.

Hata CAPET TUNABANDIKA KAMA UNATAKA KUPUNGUZA JOTO LA PAVING NYUMBANI KWAKO.

IMG_20260618_162259.jpg
IMG_20260618_162316.jpg
IMG_20260618_162247.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom