Changamoto ya umeme kukata kata

Changamoto ya umeme kukata kata

trezman

New Member
Joined
Aug 11, 2026
Posts
1
Reaction score
0
Wilaya ya Handeni mkoani Tanga umeme unakata sana na ni kila siku bila kupewa taarifa , kila siku kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa 1 jioni Kwa mji wa kabuku na maeneo mengi ya wilaya ya Handeni huwa hatuna umeme hivyo kusababisha shughuli za uzalishaji kukwama ambazo zinategemea umeme Kushindwa kuendelea ,tunaomba utatuzi pamoja na kupewa taarifa pale ambapo umeme utakatika au kama kuna marekebisho tupate taarifa.
 
Je kuna hatua ndogo ndogo ambazo mmcechukua kukabiliana na jambo hilo mfano kuwakilisha kero yenu katika ngazi ya wilaya na Mkoa?
 
Back
Top Bottom