Habarini za muda, kwa wajuzi wa kujenga ni kipindi au muda mwezi gani hali ya hewa ni nzuri kufanya ujenzi (January, February, March, April, may, June, July, August, September, October, November...
Wakuu nimemwita fundi wa kuweka sink kwenye vyoo viwili lakini amechafua kwa kuweka cement na hivyo sink zote zimepoteza ule weupe wake sasa mwenye uelewa wa kuondoa huu uchafu kwenye haya masink...
Wanajamvi nawasalimu kwa moyo wa upendo kabisa.
Life limenipiga vibaya hapa mjini Tanga na isitoshe bado ni mgeni mgeni
Sasa naona kabisa kazi ambayo haina mlolongo mwingi ni kupiga kazi za...
Habari za muda Wakuu,
Kuna nyumba nimetokea kuzipenda, nimeona Kama gharama ni ndogo. Ni nyumba ambazo zimejengwa bati kwa juu hazionekani.
Kuna maswali najiuliza naomba majibu:
Je, kweli hizo...
Kuna kiwanja kimeshajengwa nyumba kipo nusu bondeni nusu mlimani. Ardhi yake haiko sawa anatafutwa fundi mtaalamu wa kulevel ardhi ili paonekane pamependeza na mvua isiharibu baadhi ya kingo za...
Nimetia nia kujenga nyumba ya kufunika kwa zege. Lakini kwanza kuna mambo nataka kufamu kutoka kwenu:
Je, kufunika kwa zege na kupaua kwa bati lisiloonekana, gharama zake zikoje kwa kulinganisha...
Wanajanzi habari za asubuhi. Ni matumain yangu kuwa wote mko salama kwa wale wagonjwa nawapa pole sana na mwenyezi Mungu atawaponya,sambamba na kauli tata za waziri jafo tuwe wavumilivu.
Naomba...
Habari wadau wa ujenzi na makazi!
Kichwa cha habari kinajieleza kwa ufasaha, kama una utaalam wa kutengeneza garden, nicheki, tufanye biashara ya makubaliano.
Pana sehem yenye makazi ndio watu...
Mambo vipi wakuu!
Kulingana na hali ya sasa naomba mchanganuo wa ujenzi wa nyumba hii.Chumba cha kulala kiwe kimoja na sitting room basi na ukubwa ni 6*8.Ukiondoa tofali zipo tayar
karibuni
Habari wadau Kuna hii aina mpya ya upigaji chupingi inayong'ara ngara inakuwaje.??
Gharama zake zipoje kwa Square meter.??
Mahitaji (materials) zinazohitajika .
mwenye sample itapendeza akiweka...
Habar zenu wapendwa.
Mimi kama kijana mwenzenu ningependa kama itawezekana nimiliki nyumba ata chumba na sebure hapa Dar es salam sehemu yeyote kiwanja siyo tabu.
Kwa yeyote mwenye uzoefu wa...
Habari Wana jamvi,
Kwanza niwashukuru JF kwa kuanzisha jukwaa muhimu kama hili, mimi jamani kila nikiangalia post za humu naona zinazungumzwa nyumba ninazo ziona mijini na mara chache huku...
Wadau heshima yenu.
Kwa ufupi mwakani nataka nianze ujenzi ila bado napata ukakasi kuhusu haya yafuatayo.
1. Nitumie tofali za kuchoma (hapa nimepanga kujengea tope joint zikiwa ndogo saanaaa kwa...
Habari zenu ndungu zangu,
Ninauwezo wa kuweka akiba ya Laki 4 kila mwezi.
Nina kiwanja changu cha m 27 kwa 20 pale Mbezi ya Kimara.
Maswali yangu ni yafuatayo :
1) Je, naweza kujenga nyumba ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.