Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Mafundi wa nyumba nadhani mpo poa ndugu zangu. Nina swali muhimu kwenu nalo hili: Kama kujenga msingi wangu natumia tofari za block 1145, je nikitumia mawe nitatumia mawe kiasi gani?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu. Naomba kufahamishwa kama nataka kufanya ujenzi wa nyumba ya vyumba viwili kimoja master kingine cha kawaida, Bafu na choo la public, Jiko, Sebule na dining. Je, niandae shilingi...
1 Reactions
26 Replies
8K Views
Rejea swali hilo wakuu. Mbao ngumu bei mkasi sana, japo wadudu wakipekenya ni hasara zaidi. Mimi huwa nikiona milango imepakwa rangi naamini tu ni mbao za kawaida. Ila unakuta ziko poa na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu salaam kwenu. Naomba kujuzwa gharama na ubora kati ya paving blocks au kokoto kwenye eneo la biashara lenye mita za mraba 40. Kama ni kokoto ni za aina gani na kama ni paving block ni zipi...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kama kawaida sekta za ujenzi haisimami. Kazi ni kila siku yaani 24/7. Kwa site engineers hasa barabarani tupeane mbinu za kuminimize cost za ku-run site activities. Pia na jinsi ambavyo tunaweza...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habarini wapendwa? Mimi ni operator wa excavator pia ni fundi nimefanya kazi kama msaidizi wa operator kwa miaka 3. Nipo tayari kufanyiwa majaribio hadi ndio niajiliwe au nikabiziwe kazi . Labda...
2 Reactions
4 Replies
912 Views
Habari za muda huu wadau Ninaomba kufahamu zaidi kuhusu gharama za kukodisha ghala la kuhifadhi materials ya ujenzi ( Construction materials warehouse house) lenye square meter 400 lili chin ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau! Mwezi huu nilikuwa na plan ya kuendeleza ujenzi lakini nimekwama maana dukani ninaponunua cement mangi kasafiri ghafla😂😂😂😂 Naomba nipewe update cement inavyouzwa huko mitaa yenu...
3 Reactions
43 Replies
6K Views
Ukiunguza maharage inabidi uhame nyumba.
5 Reactions
6 Replies
3K Views
Habar kwenu wadau. Naomba mwenye kujua wanapotoa mafunzo ya jipsyum/ sum mfano zile fito na urembo mwingine utokanao. Nimejaribu kutafuta VETA na SIDO kote hamna. Mwenye kujua tafadhali. Shukran
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Mimi nipo huku mkoani kwa sasa, nahitaji kuvuta umeme kwenye nyumba ya mzee huko Mwanza (Ilemela) lakini nimepata mkanganyiko kidogo. Kwa taarifa alizonipa ni kuwa, kuvuta umeme ni laki tatu na...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Wakuu naombeni Sana mnisaidie kiwanja tayari ninacho Sasa nimepiga hesabu ya kujenga nyumba sio chini ya million tano Na Mimi Nina million mbili hapa nataka ninunue container nili modify liwe...
6 Reactions
38 Replies
8K Views
Najaribu kujiuliza maeneo ambayo watu wamemaliza kujenga viwanja vyao lakini pia wamejenga fences au uzio je wakifagia ,wakati mwingine wamekula matunda wanahitaji kutupa wanambinu gani mbadala wa...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Je nitumie mbinu gani kupunguza Gharama ya kutengeneza kalavati Kivuko cha kuingia nyumbani Kuna mtaro huwa unapitisha mafuriko
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nawasalimu wanajamvi. Nimejenga nyumba yangu mitaa ya Goba Dar es salaam, yenye ukubwa wa sqm 340, Pesa zenyewe nimeungaunga kweli ujenzi ulianza tangu 2015 mpaka sasa ndio nataka kupaua...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Habari wadau wa JamiiForums, Leo naomba Msaada wenu juu ya Elimu ya kiwanja ambacho hakijapimwa. Je, inawezekana kiwanja hicho kikazuiliwa na serikali kisitumike? Na vip imeshawahi kutokea...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari wakuu! Kama mada inavyosomeka hapo juu,wamiliki wa nyumba za biashara pamoja na watu walioko kwenye fani mbalimbali za ufundi wakiongozwa na mafundi ujenzi ni makundi yanayopata vipato vya...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Habari ya asbuhi wana jukwaa na wadau wote. Naomba tuelimishane kuhusu tofali za ujenzi za cement manake hua naona kuna tofali za urefu, upana na unene tofauti tunapokua tunajenga nyumba zetu...
3 Reactions
9 Replies
9K Views
Habarini za muda, kwa wajuzi wa kujenga ni kipindi au muda mwezi gani hali ya hewa ni nzuri kufanya ujenzi (January, February, March, April, may, June, July, August, September, October, November...
1 Reactions
54 Replies
9K Views
kuna mtu amenidokeza kwamba dirisha ya aluminum standard size ni 80,000Tsh na si vinginevyo. Je, kuna ukweli wowote.
0 Reactions
10 Replies
19K Views
Back
Top Bottom