Mnaojenga December hii tupeni update ya bei ya cement

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,593
Habari wadau!

Mwezi huu nilikuwa na plan ya kuendeleza ujenzi lakini nimekwama maana dukani ninaponunua cement mangi kasafiri ghafla😂😂😂😂
Naomba nipewe update cement inavyouzwa huko mitaa yenu.

Asanteni.
 
Habari wadau..!

Kama mangi hayupo nenda hapo kwa Mpemba ipo nimeona asubuji hii.
 
Back
Top Bottom