Upo pande zipi Kama upo vizuri kwenye bridge design na unaweza kutumia AUTOCAD kwa speed nenda kafuatilie daraja la WAMI wanahitaji compitent Engineer siyo mbabaishaji kazi Ni nyingi na unatakiwa umalize ndani ya mda mfupi mfano michoro ya Culvert pamoja na details zake zote ndani ya siku mbili uwe umekamlisha.Mkuu kama kuna nasota mtaani Engineer mwenzako, ukipata taarifa za kampuni inayohitaji Engineer tukumbukane Mkuu
Shukrani Mkuu ngoja nifatilie.Upo pande zipi Kama upo vizuri kwenye bridge design na unaweza kutumia AUTOCAD kwa speed nenda kafuatilie daraja la WAMI wanahitaji compitent Engineer siyo mbabaishaji kazi Ni nyingi na unatakiwa umalize ndani ya mda mfupi mfano michoro ya Culvert pamoja na details zake zote ndani ya siku mbili uwe umekamlisha.
Alafu likipiga ufa unamuita injinia aje akupe njia za kuuziba.Wasomi hawa ibabidi wajipange sana maana huku mtaani saidia fundi wanajenga hadi gorofa
😂😂😂 acha tu kaka, Wabongo hawaheshimu ujuzi kabisa, Sijui akili za watanzania unaweza juta kwa kuhisi ulipoteza muda kwa kusoma fani yako, imagine ambavyo kwa sasa hivi huu ugonjwa unavyochukuliwa kisiasa sijui tulisomesha wataalamu wa afya ili iwejeAlafu likipiga ufa unamuita injinia aje akupe njia za kuuziba.
Inategemea mbona hata hao wasomi wanajenga naufa zinatokea sio kila injinia anaweza kufanya kazi nzuri wengine uwezo bado mdogo ukubali ama ukatae ukweli ndohuoAlafu likipiga ufa unamuita injinia aje akupe njia za kuuziba.
Ukiona jengo limejengwa na goigoi sio jengo hilo banda la kuku.Inategemea mbona hata hao wasomi wanajenga naufa zinatokea sio kila injinia anaweza kufanya kazi nzuri wengine uwezo bado mdogo ukubali ama ukatae ukweli ndohuo