cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
Kuna kipindi nilikua nataka kujenga nyumba nikawa
najaribu kuulizia gharama hapa na pale on how i can make it mpaka finishing nyumba simple ya room 3
Most of my friends ambao walikua wamesha jenga walikua wanataja gharama kubwa sana ili tu ionekane nyumba zao ni gharama na wengine wanakatisha tamaa kabisa,
on reality ujenzi wa nyumba ni gharama ila sio kama wengi wanavyo katisha watu tamaaa
ukiwa na commitment tu unaweza kujenga
so vijana acheni kuuliza sana tafuta wataalamu wa makadilio ya ujenzi then bei za materials ulizia mwenyewe na usimamie mpaka mwisho,
Punguza kula bia kuhonga utajenga kabla ya kustaafu,
usitegemee kutumia pesa ya pension kwenye ujenzi utawatesa watoto wako na kuwalaumu hawakujali.