Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Habarini wadau, Kama mada ilivyojieleza. Naomba kujua kwa nyumba yenye sebule, dining, jiko, vyumba viwili na master. Kwa makadirio inaweza ikacost shilingi ngapi kuiweka Gypsum. Na ni Gypsam...
0 Reactions
19 Replies
25K Views
SIMPLE TWO BEDROOMS RESIDENTIAL HOUSE DESIGN One master bedroom One plain bedroom Commbined Sitting room and Diming room Open Kitchen veranda( front&kitchen) Plot coverage 15m× 15m=2250sqm For...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Wandugu JF, Aisee kuna plot yangu nilinunua Salasala kilima Hewa miaka 7 iliyopita, kulikuwa kuzuri ila sasa naona baada ya ujenzi wa watu mbali mbali na kulingana na nature ya Hapa ni slope...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za leo wakubwa, Nimeamua kujifunza kupitia jukwaa hili nikiamini katika, jukwaa hili kuna walimu wa hivi vitu na wataalam mbalimbali. Kiukweli nimeamua kujifunza kudizaini nyumba mimi...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau, nimeambiwa eti kuna aina ya kokoto maalum zinazonyonya maji kupeleka ardhini. Je, nani anazijua na zinapatikana wapi? Maana kuna maji ya pavement tumeyatengenezea mfereji lakini mvua...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari, Naomba kuuwauliza ndugu zangu, ninategemea kuezeka kakibanda kangu sina pesa ya kutosha kuweza kununua mbao treated hivyo nataka niezekee milunda, naombeni ushauri inafaa kwa ustahimilivu...
1 Reactions
32 Replies
7K Views
Wasalaam, Naomba tu kutoa wito kwa wale wenzangu na mimi tunaojidunduliza ili kujenga nyumba za kuishi na familia zetu kuwa MAKINI sana na WATU tunaowaweka wawe walinzi wa nyumba zetu. Kuna tukio...
38 Reactions
118 Replies
18K Views
Naomba uzoefu wenu juu ya vitu hivyo viwili, katika kuskimu ukuta nini kitumike kati ya hivyo viwili ili kuleta uimara katika kupaka rangi.
0 Reactions
26 Replies
13K Views
Poleni na majukumu wakuu. Nimejenga nyumba yangu iko ktk hatua ya kupaua ila nimeona katika madirisha matatu kumetokea (nyufa nyembamba sana) unakua ni ufa mmoja tu unata juu mwenda chini...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Ni kifaa cha elektroniki cha usalama ambacho kinafungwa kwenye majengo mbalimbali ili kugundua harakati zisizoruhusiwa katika Maeneo haswa baada ya muda wa kazi. Kifaa hiki kinatumika katika...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Bila ubishi wakuu mwonekano wa hii dizaini ya hiki kiramani cha nyumba ni zaidi ya hatari. So pretty, so beautiful, so gorgeous, so cute. Angalia mwenyewe, mkuu.
4 Reactions
29 Replies
5K Views
Habari. Kuna kibanda cha square metre 371 kimefikia hatua ya kupaua na kuweka bati , je makadirio ya gharama inaweza kuwa shs ngapi? Natangiliza shukrani.
0 Reactions
22 Replies
9K Views
Wanajukwaa nawasalimu. Natamani kuishi kwenye nyumba ya National Housing hapa DSM. Sijawahi kuishi kwenye hizi nyumba zaidi ya kuona waarabu na wahindi wakiwa ndio wakazi wakubwa. Naomba kujua...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwa anayejua Fundi wa kuziba Simtank. Ni tank kubwa la lita 10,000 na limepasuka upande wa chini ubavuni. Kutokea chini kabisa kuja juu kama sm 45 hivi. Najua sehemu ya chini huwa kuna mgandamizo...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Kuna kipindi nilikua nataka kujenga nyumba nikawa najaribu kuulizia gharama hapa na pale on how i can make it mpaka finishing nyumba simple ya room 3 Most of my friends ambao walikua wamesha...
34 Reactions
42 Replies
9K Views
Habari za majukumu. Ninaishi sehemu kuna mbu wengi Sana, na malaria ni hatari. Ninatamani kufanyia farmigation nyumba nzima Kwa lengo la kuuwa mbu, mende, mijusi na wadudu wengineo. Naomba...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari za leo wakuu, Kaka mijengo bado naendelea na hobby yangu ya kubuni mijengo mbalimbali kadri akili inavyo nituma. Haka kamjengo kana vyumba viwili tu, na choo ndani kwa ndani. Bado...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Leo nimekuja na mjengo wa vyumba vinne ukiwa kwenye hatua za mwisho mwisho. Unaweza kujionea mwenyewe
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Salaam wanajukwaa. Nahitaji ushauri na uzoefu juu ya jambo hili. Nahitaji kujenga choo kidogo cha kisasa pasipo kutumia tofali kwenye kuta. Chemba ipo tayari na sink zipo tayari, kinachoniwazisha...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Hello everyone, I'm still continuing with my project of house design. And today I've come with the second project which I've made this week as you can see on the photos below. This house has...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom