Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Habari wakuu . Nataka kuanza ujenzi ule wa mdogomdogo atleast by the end of the year niwe nimepaua na kuweka grill kwenye madirisha na milango ya nje. Ramani ina ukubwa wa m 15 x m 14 na ni...
1 Reactions
62 Replies
11K Views
Habari wadau, Binafsi nimeamua mwaka huu nami nimiliki eneo maana naona umri unazidi kuyoyoma sitaki kuja kuwa historia huko mbeleni. Mada ya huu uzi ni hivi nimeenda kuangalia kiwanja tuanze na...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Ushauri, maoni yote yanakaribishwa kwa yeyote mwenye mawazo chanya katika kuondoa au kumaliza tatizo la chumvi majumbani kwetu. 1. Mimi ni mkazi wa Dodoma(Ilazo) na kwa bahati mbaya sana nyumba...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Leo nawaletea karamani kapya. Ni ingizo jipya kabisa.
1 Reactions
34 Replies
7K Views
Habari za leo wakuu, Nimerudi tena, kuomba ushauri kutoka kwa watundu wa designing. Watundu wa design niongeze vitu gani kwenye hii design.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimefikia hapo, Nataka nijichange tena bado wiring, shimo la choo, kuweka mifumo ya maji , na vingine ambayo bado vinaonekana hapo.. naomba kujua kipi kinaanza Kati ya hivyo na nimalizie na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari, Me kijana wa miaka 21 naomba kuuliza nikiwa na Million 25 naweza kujenga nyumba au kijumba cha ukubwa gani? Msaada please Ahsanteni.
2 Reactions
23 Replies
8K Views
Salam kwenu wakuu. UPDATES; Shukrani kwa wote mliochangia na hata waliosoma tu,JF iliwezesha kufahamiana miongoni mwetu na jambo langu limepata ufumbuzi!! Mbarikiwe!! Picha ambatanishi ni boma...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Wakuu naomba msaada, Lengo nataka kufungua kampuni ya kusupply vifaa vya ujenzi na baadae mtaji ukiongezeka niongeze kufanya building and construction. Naomba msaada maana nataka kufanya usajili...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
1.Mchanga Tipa 2.Cement 3.kokoto Tipa 4.Tofali inch 5 n 6 5.Mawe 6.Nondo mil 12
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu hamuwezi amini nimejikakamua kujenga nyumba hii kwa bei tajwa hapo juu, kumbe kila kitu ni maamuzi tu.
30 Reactions
169 Replies
33K Views
Habari za weekend wakuu. Mwaka jana mwishoni nilikuja na Uzi wa kuomba ushauri ni jinsi gani naweza pata kiwanja. Watu wengi walinipa ushauri mzuri. Nikaona itakua vizuri nikileta mrejesho...
17 Reactions
23 Replies
4K Views
Naomba kujua jina lake na linauzwaje
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wakuu Habari za muda huu? Bila kupoteza muda, niende moja kwa moja. Nilitaka kuweka glue wallpaper hizi kwenye kuta za nyumba yangu sebuleni na chumbani, lakini nikakutana na ushauri wa hii kitu...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Wakuu habari ya asubuhi. Moja kwa moja kwenye mada. Nataka kuweka madirisha ya PVC white daraja la juu kabisa.... But kuna baadhi watu waliowahi kuweka hayo madirisha wananiambia hayafai kwenye...
1 Reactions
36 Replies
12K Views
Wakuu naomba kwa mweye uelewa wa namna ya kufanya calculations ili kujua idadi ya paving blocks inayoweza kutumika kulingana na mita za mraba za eneo (area per square meter).
1 Reactions
16 Replies
18K Views
Habari wakuu, naomba process ya kufanya mpaka unapimiwa eneo lako la biashara kufungua kituo cha mafuta, na aina ya makampuni yanayopima maeneo tafadhali.
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Niliwahi kumtembelea rafiki yangu, alipewa sehemu ya kujenga nyumba na wazazi wake, eneo halikua kubwa sana lakini ni katikati ya mji. Alijenga ghorofa na juu aliweka vyumba viwili vya kulala...
8 Reactions
6 Replies
3K Views
Nahitaji kufahamu bei na urefu wa senyenge hizi kwa mzingo mmoja: i) Barbed wire ii) Galvanized razor wire
1 Reactions
5 Replies
3K Views
naomba kuuliza kuhusu junsi ya kupata au kukata kibal cha kusafirisha au kupitisha excavator
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom