Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Jaman nimechora kitu apo lakini sa kijua cost yake n chenga me sio mtaalam sana wa hiv vitu naomba msaada jamn kw raman hii. Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
41 Replies
5K Views
Habari wadau ni balbu za rangi gani ukiweka sebuleni panavutia ukiwasha usiku[emoji120]
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Kama ilinyo elezwa apo juu vinatafutwa viti vya asili ka. A hii picha inavyoonekana. Location viwe kanda ya ziwa bei iwekwe hapa mimi ni mgeni wa huu mtandao, staweza kuja inbox 👸😌🙏🙏
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Huu ni ugonjwa gani wa kuta za nyumba na unatibiwaje? Naomba msaada tafadhali!
2 Reactions
47 Replies
10K Views
Habari za asubuhi wakuu... nimepata mtu anauza kiwanja, viwege, Dar kuepusha majuto na kupoteza hela, naombeni uzoefu wenu kabla ya kujitosa...naomba kujua Barabara za mtaa huwa zinatakiwa kuwa na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu wanamajilisi, hiyo "design" tajwa hapo Juu ndio Ujenzi wa Kisasa? Au ni kipi hasa kinapelekea Mafundi wengi kushauri Ujenzi wa namna hiyo?
4 Reactions
46 Replies
12K Views
Wakuu Habari za muda huu? Miaka kadhaa kidogo kuna mdau alitoa ushuhuda wa namna ambavyo minazi hutumika kupunguza gharama za mbao kwa ajili ya ujenzi. Kwa maana ya kwamba, kuna maeneo sikumbuki...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Mtu anakuja kwako umejenga L na choo anakulazimisha nyumba 3 akiziandika wewe unalipa Kodi ya nyumba tatu huu sio Utanzania hata ya miti mmmm! Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
4 Replies
833 Views
Ninaomba mnieleweshe kuhusu ujenzi wa mashimo ya maji taka (Septic tanks) hapo Jijini Mbeya huwa mnayajengea ndani kwa kutumia nini Kati ya vifuatavyo: 1) Mawe 2) Tofali za kuchoma 3) Tofali za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nyumba yangu Ina madirisha ya zamani Kama ilivyooneshwa hapa chini, nataka kuongezea aluminium bila kubadilisha Grils zilizopo. Kama Kuna fundi anaweza kazi hiyo tuwasiliane inbox.
2 Reactions
52 Replies
15K Views
Nahitaji kufahamu gharama inaweza kucost kiasi gani? Nataka nilifanye kama ofisi yangu
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wakuu, Wakati najipanga hapa nikaona niombe mchango wa mawazo na uzoefu wenu. Bila shaka wapo ambao mnafahamu gharama ya kumtumia mkandarasi kujenga, walau kwa kukisia tu. Nashukuru sana...
2 Reactions
32 Replies
8K Views
Habari zenu jf, wadau hivi ni upi umri sahihi kabisa wa mtu kuanza kumiliki mjengo (nyumba) naomben msaada wa hili swali maana wenda kidog akili yang ikatulia na kichwa kikapunguza kuuma
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari wakuu... Kwa sasa kuna kundi kubwa sana la watu wanaofanya ujenzi kwa watu binafsi kwa mkataba, ukitembelea instagram utaona ni jinsi gani walivo wengi. Changamoto kubwa iliyopo ni kujua...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimejipiga nimepata kaeneo kakujenga katikati ya makazi ya watu wengine! Kulingana na udogo wake nimetenga kuwa "kanyumba"kangu ka kuishi kachukue eneo la ukubwa wa futi 40 urefu kwa futi 25...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari za wakati huu. Nimelazimika kuingia humu kuomba ushauri kwa ajili ya kapata namna kumpa mke wangu amani ya moyo. Nina mshukuru Mungu tumejenga nyumba kubwa nzuri na kufanikiwa...
0 Reactions
38 Replies
11K Views
Wakuu habari za weeknd!! Kama kichwa cha habari.kinavyoeleza, naomba kudeclare interest kwamba my dream nyumba ya ghorofa moja. Na nimefikia kuchagua contemporary house maana nimesikia...
1 Reactions
20 Replies
16K Views
Naomba kujua bei ya Hivi vifaa kwa dar nasikia ni nafuu zaidi
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Ndugu zangu Wana JF Naombeni ushauri wenu. Mimi Niko ARUSHA et mtaa mzuri Kati ya Majengo na Mianzini wapi pazuri na Bei ya vyumba hikoje. Najua nimesomeka hapo juu. Naombe msaada.
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Back
Top Bottom