Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Ndugu zangu Wana JF Naombeni ushauri wenu. Mimi Niko ARUSHA et mtaa mzuri Kati ya Majengo na Mianzini wapi pazuri na Bei ya vyumba hikoje. Najua nimesomeka hapo juu. Naombe msaada.
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Hivi kwa mil. 5 naweza kujenga nyumba ndogo ya chumba 1, sebule, jiko na choo mpaka kiwango gani? NB: Kiwanja kipo Dodoma Kisasa Au niongeze mpaka ngapi wakuu?
3 Reactions
52 Replies
20K Views
Kwa uzoefu wangu mdogo, tofali zenye uwazi katikati (Hollow Cement Block) zinatumika kwa uchache sana. Pamoja na faida zake nyingi, najiuliza ni kwa nini?
4 Reactions
21 Replies
7K Views
Katika ardhi tambalale yenye mchanga, msingi upi ni bora kati ya ule wa mawe na wa tofali?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu salam, Naomba niweke wazi kuwa kwenye fani ya ujenzi mimi ni kibarua mzoefu kwa muda mrefu nimefanya kazi nyingi na mafundi wengi nimeona mengi. Kwenye hii mada nitatoa uzoefu wangu kuna...
19 Reactions
9 Replies
5K Views
Kuna hii taasisi inaitwa Equity for Tanzania (EFTA) inayodai inakopesha vifaa vya ujenzi imenipa utata. Dada yangu ni mjasiriliamali wa kutengeneza matofali, nyanda za juu kusini. Hivi karibuni...
0 Reactions
33 Replies
22K Views
Habari za Jumatatu wadau. Kichwa cha habari chahusika. Ningependa kununua nyumba DSM maeneo ya Kigamboni, naomba ufafanuzi wa mambo muhimu ya kuzingatia kabla na wakati wa kununua nyumba ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kueleweshwa hapa ipi tofauti ya futi na sqm pale mtu anapokupimia eneo(kiwanja). Mfano ukiambiwa eneo hili Lina ukubwa wa futi 60 kwa 60 ni sawa na sqm ngapi? Mimi nimeshazoea sqm 400...
1 Reactions
12 Replies
31K Views
Nimejitahidi kadri ya uwezo wangu naanda hii ramani ya nyumba ya vyumba viwili kwaajili ya watanzania wenye uchumi wa kawaida kama mimi. Unaweza kujionea hapa chini. Ila bado haijamalizika.
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Wakuu msaada zile sling board za plastic zinazowekwa kwenye fisher board kwa nje zinaitwaje?
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Habarini wana JF, Nina uhitaji wa haraka wa nylon nyeupe (transparent) walau 0.5mm....naomba msaada kwa mwenye kufaham jinsi ya kuyapata. Asanteni.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini ndugu zangu, Nataka kuanza kujenga nyumba ya kuishi, maeneo ni Dar es Salaam, naombeni mbinu bora ya kufanya ujenzi katika angle ya kuwalipa awa mafundi ujenzi, kuna fundi nimeongea nae...
2 Reactions
70 Replies
10K Views
Habari wanajamii forums, Nilikuwa naulizia bei ya kiwanja 20x20 kwa maeneo ya Arusha hasa moshono,maana mdau kaniambia sio chini ya milioni 10,kwa wadau WAZOEFU kiwanja ukubwa huo naweza kukipata...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Nimefikia stage ya kuchimba choo lakini maji yako karibu ft 4. Na ni maji mengi , je nisimamishe ujenzi wa choo mpaka kiangazi au kuna njia mbadala? Mbona sasa nakwama kuhamia kwangu jamani...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Mchanganyiko wa udongo na mchanga hutoa matofali bora sana. Matofali haya huboreshwa kwa kukiwa. Ili kupata matokeo bora matofali haya huwa ni madogo ili kurahisisha uokaji. Abstract...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Salam wakubwa, Mimi ni kijana nimesomea veta ujenzi wa majumba najua kusoma ramani na kuchora pia (hii ya kuchora sio rasmi hua nawafanyia watu wanachokimudu) nishajenga vinyumba vikubwa vikubwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wajumbe. Kuna huu urembo was kisasa ambapo wanachora nguzo na madirisha kwa kutumia cement Kisha ili ikauke haraka wanamwagia VUMBI la cement. Hili VUMBI kama Kuna upepo hupaa na kuganda...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kwa mahitaji ya ramani kwa gharama nafuu pia ukihitaji schedule of materials ambayo itakusaidia kwenye kufahamu idadi ya materials ya ujenzi wako, contact 0679851483/0754984819. Hii design in two...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Leo nimekuja na design ya jikoni (kitchen design season I) kama unavyoweza kujionea kwenye hizi picha hapa chini. Nitaendelea na season II, III, IV na kuendelea.
7 Reactions
22 Replies
8K Views
Ndugu Amani na iwe kenu. Kwa wazoefu wa kuuza/ kununua, waashi na wahandisi wa majengo, naomba kujuzwa bei elekekezi kwa vifaa tajwa hapo chini 1. Mfuko wa Cement 2. Nondo (12Mm) 3. Nondo (16 Mm)...
2 Reactions
10 Replies
16K Views
Back
Top Bottom