Dizaini ya jikoni (Kitchen design season II)

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
2,204
2,083
Leo nimekuja na design ya jikoni (kitchen design season I) kama unavyoweza kujionea kwenye hizi picha hapa chini.
Nitaendelea na season II, III, IV na kuendelea.

FB_IMG_1615958965212.jpg

FB_IMG_1615958946108.jpg

FB_IMG_1615958939254.jpg

FB_IMG_1615958928958.jpg
 
Najiuliz kuhusu hizi modern desing za kisasa, ni kwa nini mashine za kufulia nguo wanaziweka jikoni?
 
Number 3 kama iko busy...sijui ilivyochanganywa na hiyo floor...
 
Kitchen design kwanza inatakiwa kuwa simple ili kuleta good air circulation, zingatia kanuni za kuzuia moto usisambae.. good design sehemu ya kupachika jiko na gas inakuwa imejengewa na tiles tupu ili moto usishike mbao za cabinets.. hayo ni machache
 
Najiuliz kuhusu hizi modern desing za kisasa, ni kwa nini mashine za kufulia nguo wanaziweka jikoni?
Hio ni tangu zamani kutokana na udogo wa nyumba. Kama nyumba ni kubwa kunakua na utility room mashine zinakaa huko.
 
Wakuu nyumba yangu ina open kitchen, sasa katika harakati za kupika naona kabisa harufu inaweza fika Sebuleni. Nimewaza kuweka lile nyonya moshi la kisasa. ( Kitchen hood) sasa nauliza kama kuna ambayo yanapeleka moshi/ harufu nje maana mostly nayaona ni kama yana Unit tuu ya ndani na hakuna kitu kipo nje

Pia kuna hizi Ceiling Ventilator je zinaweza kuwa msaada??
IMG_7919.jpg

IMG_7920.jpg

IMG_7921.jpg

IMG_7922.jpg
 
Swali zuri sana. Ngoja tupate majibu hapa
Wakuu nyumba yangu ina open kitchen, sasa katika harakati za kupika naona kabisa harufu inaweza fika Sebuleni. Nimewaza kuweka lile nyonya moshi la kisasa. ( Kitchen hood) sasa nauliza kama kuna ambayo yanapeleka moshi/ harufu nje maana mostly nayaona ni kama yana Unit tuu ya ndani na hakuna kitu kipo nje

Pia kuna hizi Ceiling Ventilator je zinaweza kuwa msaada??View attachment 1740586
View attachment 1740587
View attachment 1740588
View attachment 1740589
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom