Idadi ya ya mabati na mbao

wajingawatu

JF-Expert Member
Jan 20, 2013
2,048
2,442
Ninaomba wenye utaalamu wa kukadiria vifaa/gharama za ujenzi anisaidie kupata idadi ya bati kwa hali yenye ukubwa wa 15.3 x 13.5. Paa nne
 
Mwamini fundi wako, au peleka mafundi wawili watatu watakupa makadirio na maelezo kisha utaamua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom