Bati ngapi na Mbao za kupaulia ngapi? Nyumba ya (7.3x8.8)m

resonanceiduufu

Senior Member
Jul 29, 2016
112
62
Nina boma la nyumba ya ukubwa 64m², nmetumia tofali 1850 za block:
Ina +Master bedroom (12x12)ft
+Single room 1 (10x10)ft
+Dining (10x12)ft
+ Sebule (19x12)ft
+Public toilet 1 (4x6)ft
Naomba kujuzwa ni bati ngapi zinaweza kutosha na mbao za kupaulia ngapi? NATAKA NIEZEKE KISASA!

Nawasilisha!!
 
kama kisasa unamaanisha contemporary...fanya hivi mbao zisizidi za milioni na bati pia ni milioni ikiwa za south,IT 5 weka 1.3 only..ufundi wape laki 7 au nane
 
Nahitaji ramani yako boss hasa namna ya kuweka hiyo Dining.. Kama hutaibiwa na mafundi mbao unazohitaji ni 2*4=75 na 2*2=60 kwenye bati ni kati ya 55-60 za Simba dumu ila kama msauzi wa kichina zinaweza fika hata bati 75...Almost 3 million is enough kwa sisi wagonga ulimbo.
Floor plan yake iko hv
JPEG_20210717_093449_3278992002152863397.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom